Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.
Lugalo imebaki kama administrative Barracks tu lakn nguvu kubwa ilishatolewa so usije ukadhan JWTZ ni zembe kama unavyofikiri kichwan mwako.

Zile sehemu nyeti na zenye vitendea kazi ziko mbali mapirini huko kama sio muhusika ukikamatika huko ni shida kidogo na ulinzi upo wa kutosha
 
Majukumu ya 34Kj hayajawahi kubadilika. 1. Kuwalinda viongozi waandamizi wa JWTZ. 2. Kuulinda mji wa Dar es Salaam. 3. Kuwa tayari kwa lolote muda wowote. Ndiyo maana wako standby 24/7. Sijawahi Fikiri JWTZ ni zembe ila napiga uamuzi wa kujenga vibanda vya biashara kwenye fence yake. Hata Ingekuwa adminstrative unit, kumkaribisha raia yeyote kukaribia kambi kiasi hicho haikubaliki kiusalama.
Yani mandhari yote yamechafuliwa na viongozi washamba na walafi na mafisadi....

Sijawai ona barracks inajengwa mafrem takataka kama yale...

Ule uoto wa asili wote umeondolewa , miti imekatwa na uchafu unaoitwa frem umwekwa... Shame JWTZ
 
Tunapangisha mpaka kwa raia..ila siku ya kulipa pango/kodi hatutaki miyeyusho...utaandoka kwa mitama ya nguvu na frem unatuachia wenyewe bila kutoa chochote ndani...
Una swali lingine
 
Yani mandhari yote yamechafuliwa na viongozi washamba na walafi na mafisadi....

Sijawai ona barracks inajengwa mafrem takataka kama yale...

Ule uoto wa asili wote umeondolewa , miti imekatwa na uchafu unaoitwa frem umwekwa... Shame JWTZ

Kwanza wamekata msitu ule tulokuwa tunafanyia huko matamasha na vikao
 
Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.
Lugalo imebaki kama administrative Barracks tu lakn nguvu kubwa ilishatolewa so usije ukadhan JWTZ ni zembe kama unavyofikiri kichwan mwako.
Corinto au Colito?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kila siku na pita hapo, kumpeleka mtoto feza primary school, kawe.

Hizo frem zimejengwa kishamba sana sijui msanifu wa hizo frem alitoka kigoma au la?

Frem hazivutii wapangaji wala wanunuzi muundo wake ni wakizamani sana miaka ya nyuma huko...

Miaka ya hivi karibuni watu wana endana na muda frem ina kuwa kali na inavutia

Kama ningelikua na picha ningeli onyesha hapa, kwa akili za kawaida kabisa nahisi aliye kabidhiwa kusimamia huo mradi kapiga pesa ndefu sana kawaaibisha wenzake kwa kujenga vile vibanda sio hadhi ya Jeshi letu.

Walivyo anza ujenzi nilijua kita lipuka kitu matata sana ambayo ita vutia watu kuja hapo kupaki ndinga zao na kufanya shopping maana mawazo ya watu wengi huwa yana waza jeshi ni mahali palipo proper sana [emoji28] sasa kilicho tokea daaah ngachoka... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo zimejengwa kijeshi kama ule ukuta kule mererani
 
Back
Top Bottom