wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
- Thread starter
- #141
Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.
Lugalo imebaki kama administrative Barracks tu lakn nguvu kubwa ilishatolewa so usije ukadhan JWTZ ni zembe kama unavyofikiri kichwan mwako.
Zile sehemu nyeti na zenye vitendea kazi ziko mbali mapirini huko kama sio muhusika ukikamatika huko ni shida kidogo na ulinzi upo wa kutosha