Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Sasa hivi makambi ya jeshi yamejaaa mabaa na mafremu... Takataka kabisa... Hatujufunzi hata kwa wenzetu jinsi barracks zinapaswa kuwa....??? Muafrika ni mtu wa hovyo sana
 
UNALIDHARAU JESHI LA TANZANIA LINALOKULINDA, BASI RUDI KWENU MKIMBIZI WEWE, YOU DAYS ARE NUMBERED
Siku zote Mpumbavu akikosolewa au akiambiwa Ukweli ili ajifunze na abadilike hukasirika na huona anadharaulika.

Kuhusu kuniambia GENTAMYCINE kuwa my days are numbered Wala isikusumbue sana kwa hata 50% ya Mabosi wa Taasisi ya Wasiojulikana wanaijua hii ID na wananijua ndani nje hivyo wakinihitaji hata sasa wanajua kwa Kunipata.

Tena nikiuwawa kwa kusema Ukweli nitashukuru na Kufurahi mno kwani najua kwa Walioniua wataona Wameniweza na Kunikomoa ila kwa Mwenyezi Mungu na Malaika wake Mikaela na Jibril nitaonekana ni Shujaa na Mtu nisiye Mnafiki.
 
Sasa hivi makambi ya jeshi yamejaaa mabaa na mafremu... Takataka kabisa... Hatujufunzi hata kwa wenzetu jinsi barracks zinapaswa kuwa....??? Muafrika ni mtu wa hovyo sana
jeshi limeacha kufanya kazi yake kuu ya medani na masuala ya uaskari limeamua kuwa jeshi la ujasiriamali ,ni kwamba wanapewa fedha chache (bajeti haitoshelezi) au ni tamaa zao hao maofisa kupiga hela?
 
Sijaziona Hizo frem sababu sijaenda njia hiyo Kwa muda jinsi navyopajua pale kama wamejenga Hizo fremu Kwa style ya tereni la kigoma nakuambia subiri zitageuka magofu
Labda mfanya biashara mwendawazimu ndio ataenda kupanga katikati kule ukitoa huku mwanzoni unapotoka Mwenge na kule Juu njia panda ya kawe
Kwanza movement ya Watu ni hakuna sijui watamuuzia nani na barabara ni highway
Hiiiiii bha ghoshaaaa ngoja tuone akili zisizo na ubunifu kama zitafua dafu!
 
Jeshi na biashara sijawahi ona, lakini sio kwamba wakubwa huko jeshini hawajui wanachokifanya hapana,wanajua na ndio maana wametoa mkono wa shirika kuruhusu huo ujenzi
 
Hiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.

Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
Usisahau kutaja na baa pamoja na ukumbi wa harusi ambayo Ili ifike kwa urahisi unapitia lango kuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshi na biashara sijawahi ona, lakini sio kwamba wakubwa huko jeshini hawajui wanachokifanya hapana,wanajua na ndio maana wametoa mkono wa shirika kuruhusu huo ujenzi
Natoa rai kwa Serikali , Rais na Waziri wa ulinzi na CDF ujenzi huo usitishwe mara moja... Barracks iheshimiwe... Mazingira ya Barracks dunia nzima yanafahamika yanatakiwa yawaje....Hii ni aibu kubwa sana...

Ule uoto wa asili wa miti urudishwe mara moja... Na miti ipandwe... Tusiruhusu viongozi wachache , washamba na walafi kuliharibu jeshi...

Hizo fresh ujenzi usitishwe mara moja... kiusalama ni hatari mno... mimi siawahi ona upuuzi wa namana hii popote duniani
 
Sijaziona Hizo frem sababu sijaenda njia hiyo Kwa muda jinsi navyopajua pale kama wamejenga Hizo fremu Kwa style ya tereni la kigoma nakuambia subiri zitageuka magofu
Labda mfanya biashara mwendawazimu ndio ataenda kupanga katikati kule ukitoa huku mwanzoni unapotoka Mwenge na kule Juu njia panda ya kawe
Kwanza movement ya Watu ni hakuna sijui watamuuzia nani na barabara ni highway
Hiiiiii bha ghoshaaaa ngoja tuone akili zisizo na ubunifu kama zitafua dafu!
Arifu, zimejengwa njiapanda ya Kawe, kwenye mataaa zimepinda kuelekea kawe. Yaani pale hamna kitu. Yaani ni kituko pale
 
Sasa hivi makambi ya jeshi yamejaaa mabaa na mafremu... Takataka kabisa... Hatujufunzi hata kwa wenzetu jinsi barracks zinapaswa kuwa....??? Muafrika ni mtu wa hovyo sana
Utawalaumuje Kaka wakti jiwe alitaka jeshi lijiendeshe kwaakili kama izoo unaisi ungefanyaje taasisi nyeti kama jeshi halipewi fund na serikali ya kutosha unataka ijiendeshe yenyewe ndyo kama jeshi la magereza mtu anataka lijilishe alafu uku unapigania haki za binadamu unaisi itakuwaje ndani ya magereza zaidi ya kuwatumikisha watanzania wenzetu kama watumwa ndyo maana wenzetu jeshi linaeka ushirika WA kibiashara na makampuni bimafsi ya ndani
 
Sijaziona Hizo frem sababu sijaenda njia hiyo Kwa muda jinsi navyopajua pale kama wamejenga Hizo fremu Kwa style ya tereni la kigoma nakuambia subiri zitageuka magofu
Labda mfanya biashara mwendawazimu ndio ataenda kupanga katikati kule ukitoa huku mwanzoni unapotoka Mwenge na kule Juu njia panda ya kawe
Kwanza movement ya Watu ni hakuna sijui watamuuzia nani na barabara ni highway
Hiiiiii bha ghoshaaaa ngoja tuone akili zisizo na ubunifu kama zitafua dafu!
Hazitalipa kabisa maana ukifungua duka pale utakopwa hadi ufilisike
 
Natoa rai kwa Serikali , Rais na Waziri wa ulinzi na CDF ujenzi huo usitishwe mara moja... Barracks iheshimiwe... Mazingira ya Barracks dunia nzima yanafahamika yanatakiwa yawaje....Hii ni aibu kubwa sana...

Ule uoto wa asili wa miti urudishwe mara moja... Na miti ipandwe... Tusiruhusu viongozi wachache , washamba na walafi kuliharibu jeshi...

Hizo fresh ujenzi usitishwe mara moja... kiusalama ni hatari mno... mimi siawahi ona upuuzi wa namana hii popote duniani
Jeshi litaingizaje pesa
 
Back
Top Bottom