Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni hatari mnoNiliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Na vituo vya daladala kwa pale viko mbali balaa labda kwa watakao chukua kule kona ya kawe angalau angalauPale hakuan biashar tlyoyote pale location ya hizo biashar pale uwezi kupata mteja Kwanza Ni eneo ambalo liko high way ya kwenda bgmy
Na huenda hata Vitani pia wakatumia Akili hiyo hiyo Mbovu uliyoiona katika huo Ujenzi wa Kishamba na wa Kienyeji wa hizo Fremu.Ila ile design aisee hapa, frame zimekaa kama nyoka, bora wangeweka mall kubwa pale,
Afu parking hamna, mtu atembee umbali mrefu kufuata bidhaa
KumbeeKuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo! Ilikuwa ni lazma utafte mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa. Nilichomoaga hio nikaona ufala
Tujiandaeni kwa Makubwa tu mbeleni.Mkuu ni hatari mno
UNALIDHARAU JESHI LA TANZANIA LINALOKULINDA, BASI RUDI KWENU MKIMBIZI WEWE, YOU DAYS ARE NUMBEREDKama tu Akili za Kujenga vyema hizo Fremu ( mpaka zingine zimepinda, zingine fupi na zingine zimeshaweka Ufa ) wamekosa je, unadhani Akili za Kupambana na Majeshi HATARI na Mahiri kwa sasa Afrika Mashariki kama ya Rwanda na Uganda watakuwa nayo na wataweza?
Tujiandaeni kwa Makubwa tu mbeleni.
Ile bucha kongwe ya kitimotoKuna nyama fulani ipo kule sikumbuki vizuri ni kitimoto au mbuzi tabu ukilewa na ukaanza vurugu sijui inakuwaje itakuwa kama unampapasa simba jike wakati ananjaa kwa kumbembeleza atulie chakula kinakuja.
Ameongea kitu cha kweli kabisa.UNALIDHARAU JESHI LA TANZANIA LINALOKULINDA, BASI RUDI KWENU MKIMBIZI WEWE, YOU DAYS ARE NUMBERED
VIPI MKUU
Huwa tunarekodi videos tukiwa kwenye mabasi tukisafiri huku bus linatembea. Kweli mmeshindwa?Utasimama wapi upige hiyo picha