Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Unataka kusema makamanda hawajayaona hayo?

Mkuu tafuta emuai umuulize hii inshu akikujibu uniite.......

kuna Watu wanatembea navifaa vidogo vinavyotumika kuchukua taarifa maeneo nyeti hayo......
Watu wanaotumiwa kukusanya hizo taarifa n wanafunzi wa shule ya msingi na pisi kali......
 
Kuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo!

Ilikuwa ni lazma utafute mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa.

Nilichomoaga hio nikaona ufala
 
Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Wazihamishe kambi za mjini zote wapeleke nje ya mji wanatubania nafasi.
Mji ukishakua yafaa wanahama.
 
Niliposikia tu sababu ya kupelekea Ujenzi huo jinsi ilivyo ya Kipuuzi ( kutokana na Unyeti wa hiyo Kambi ) kwa Tanzania nzima ni kwamba nchi yetu sasa iko Uchi kabisa kwa Maadui na ipo Siku Tanzania itakuwa Mali ya Taifa lingine.
Time change, majeshi duniani ni ya kisasa mno, kujenga frem outskirts hakuna tabu yoyote alikradi tu ni akina nani watapangishwa (we have friendly army but dangerous to nation enemy)

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hizi fremu ni myingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi nasitu isiyokuwa na faida.

Yaani ukifika usawa wa lugalo upande wa kushoto( kama unatoka mwenge kwenda tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!

Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
NIMEZIONA, ILA KWA MAWAZO YANGU WAMETUMIA VIBAYA ENEO HILI, WANGETAKIWA WAJENGE FREM ZA FLOOR MOJA MOJA
 
NIMEZIONA, ILA KWA MAWAZO YANGU WAMETUMIA VIBAYA ENEO HILI, WANGETAKIWA WAJENGE FREM ZA FLOOR MOJA MOJA
Kama tu Akili za Kujenga vyema hizo Fremu ( mpaka zingine zimepinda, zingine fupi na zingine zimeshaweka Ufa ) wamekosa je, unadhani Akili za Kupambana na Majeshi HATARI na Mahiri kwa sasa Afrika Mashariki kama ya Rwanda na Uganda watakuwa nayo na wataweza?
 
Ila ile design aisee hapa, frame zimekaa kama nyoka, bora wangeweka mall kubwa pale,

Afu parking hamna, mtu atembee umbali mrefu kufuata bidhaa
 
Hiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo

Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo
Uko sahihi kabisa
 
Kuna nyama fulani ipo kule sikumbuki vizuri ni kitimoto au mbuzi tabu ukilewa na ukaanza vurugu sijui inakuwaje itakuwa kama unampapasa simba jike wakati ananjaa kwa kumbembeleza atulie chakula kinakuja.
[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom