Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yeah ndio ilivyo hivyoKumbee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ndio ilivyo hivyoKumbee
Siku zote Mpumbavu akikosolewa au akiambiwa Ukweli ili ajifunze na abadilike hukasirika na huona anadharaulika.UNALIDHARAU JESHI LA TANZANIA LINALOKULINDA, BASI RUDI KWENU MKIMBIZI WEWE, YOU DAYS ARE NUMBERED
Its ridiculous.Halafu unaambiwa vikwazo(obstacle) zimeondolewa ndo zikawekwa hizo Frem...
Makambi ya Jeshi yamegeuzwa maeneo ya Biashara
I'm blessed Intellectually and Visionary.We mdada unajihisi unajua sana kuliko wengine humu
jeshi limeacha kufanya kazi yake kuu ya medani na masuala ya uaskari limeamua kuwa jeshi la ujasiriamali ,ni kwamba wanapewa fedha chache (bajeti haitoshelezi) au ni tamaa zao hao maofisa kupiga hela?Sasa hivi makambi ya jeshi yamejaaa mabaa na mafremu... Takataka kabisa... Hatujufunzi hata kwa wenzetu jinsi barracks zinapaswa kuwa....??? Muafrika ni mtu wa hovyo sana
ANDIKA VIZURI BASIAmeongea kitu cha kweli kabisa.
Hivi unajua hapo Frem zilipohengwa vikwazo vimeondolewa ndo zikawekwa hizo frem
Usisahau kutaja na baa pamoja na ukumbi wa harusi ambayo Ili ifike kwa urahisi unapitia lango kuu[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo kambi ni ya makazi ya askari, na hospitali ya jeshi, haina siri za kuficha kihiivyo.
Maana raia wanaruhusiwa hapo 24/7 kama wakazi wa katika nyumba za ndugu zao wanajeshi na pia kama wagonjwa hospitali, halafu kuna shule pia pale, kwahiyo sio sensitive kihivyo.
Nikifikiria sana hiki kituPale hakuna biashara tlyoyote pale location ya hizo biashara pale huwezi kupata mteja Kwanza Ni eneo ambalo liko high way ya kwenda Bagamoyo.
Natoa rai kwa Serikali , Rais na Waziri wa ulinzi na CDF ujenzi huo usitishwe mara moja... Barracks iheshimiwe... Mazingira ya Barracks dunia nzima yanafahamika yanatakiwa yawaje....Hii ni aibu kubwa sana...Jeshi na biashara sijawahi ona, lakini sio kwamba wakubwa huko jeshini hawajui wanachokifanya hapana,wanajua na ndio maana wametoa mkono wa shirika kuruhusu huo ujenzi
Arifu, zimejengwa njiapanda ya Kawe, kwenye mataaa zimepinda kuelekea kawe. Yaani pale hamna kitu. Yaani ni kituko paleSijaziona Hizo frem sababu sijaenda njia hiyo Kwa muda jinsi navyopajua pale kama wamejenga Hizo fremu Kwa style ya tereni la kigoma nakuambia subiri zitageuka magofu
Labda mfanya biashara mwendawazimu ndio ataenda kupanga katikati kule ukitoa huku mwanzoni unapotoka Mwenge na kule Juu njia panda ya kawe
Kwanza movement ya Watu ni hakuna sijui watamuuzia nani na barabara ni highway
Hiiiiii bha ghoshaaaa ngoja tuone akili zisizo na ubunifu kama zitafua dafu!
Hakuna biashara pale labda uwahi zile zilizo jirani na Kawe. Usipoteze mtaji wakoZiko vizuri sana, subiri nione wadau wanasemaje ili nijaribu kutunza pesa ya ubuyu.
Utawalaumuje Kaka wakti jiwe alitaka jeshi lijiendeshe kwaakili kama izoo unaisi ungefanyaje taasisi nyeti kama jeshi halipewi fund na serikali ya kutosha unataka ijiendeshe yenyewe ndyo kama jeshi la magereza mtu anataka lijilishe alafu uku unapigania haki za binadamu unaisi itakuwaje ndani ya magereza zaidi ya kuwatumikisha watanzania wenzetu kama watumwa ndyo maana wenzetu jeshi linaeka ushirika WA kibiashara na makampuni bimafsi ya ndaniSasa hivi makambi ya jeshi yamejaaa mabaa na mafremu... Takataka kabisa... Hatujufunzi hata kwa wenzetu jinsi barracks zinapaswa kuwa....??? Muafrika ni mtu wa hovyo sana
Hazitalipa kabisa maana ukifungua duka pale utakopwa hadi ufilisikeSijaziona Hizo frem sababu sijaenda njia hiyo Kwa muda jinsi navyopajua pale kama wamejenga Hizo fremu Kwa style ya tereni la kigoma nakuambia subiri zitageuka magofu
Labda mfanya biashara mwendawazimu ndio ataenda kupanga katikati kule ukitoa huku mwanzoni unapotoka Mwenge na kule Juu njia panda ya kawe
Kwanza movement ya Watu ni hakuna sijui watamuuzia nani na barabara ni highway
Hiiiiii bha ghoshaaaa ngoja tuone akili zisizo na ubunifu kama zitafua dafu!
Jeshi litaingizaje pesaNatoa rai kwa Serikali , Rais na Waziri wa ulinzi na CDF ujenzi huo usitishwe mara moja... Barracks iheshimiwe... Mazingira ya Barracks dunia nzima yanafahamika yanatakiwa yawaje....Hii ni aibu kubwa sana...
Ule uoto wa asili wa miti urudishwe mara moja... Na miti ipandwe... Tusiruhusu viongozi wachache , washamba na walafi kuliharibu jeshi...
Hizo fresh ujenzi usitishwe mara moja... kiusalama ni hatari mno... mimi siawahi ona upuuzi wa namana hii popote duniani
Unataka apige picha eneo la jeshi???Ebu wekeni picha, kwasisi ambao hatupajui Daslam tuone...🙄