F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Akihamishwa inakuaje hapoNi Mradi wa Kikosi #34KJ hapo Lugalo ambao Unajumuiisha Askari wa Vyeo mbalimbali (japo wale Commissioned ndiyo wengi ) ambapo walitakiwa kuzijenga Wenyewe na wakishaanza Biashara hawatodaiwa Kodi kwa (ndani) ya miaka Miwili.
Kigezo cha chini uwe umepitia mgamboHizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.
Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!
Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
CHADOMO na vibweka vyao.Mimi nashangaa eti ipo siku itachukuliwa nchi
Kweli tembea uone
Hapa Jirani yangu kuna kambi ndogo ya wanajeshi tena ni residential area na ninapita kila siku mlangoni wamekaa askari wawili bila silaha ni nchi tajiri na wala hawaoni kama ni tatizo
Leo sisi tuna nini nchi ishikwe [emoji23][emoji23]
CHADOMO na vibweka vyao.
'Colito' MkuuNdugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapo
Mkuu ulitaka kujichifu magungo.Kuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo!
Ilikuwa ni lazma utafute mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa.
Nilichomoaga hio nikaona ufala
Hahahahah sio kizembe mkuu😅Mkuu ulitaka kujichifu magungo.
Kwa hiyo wanakodisha kitukoArifu, zimejengwa njiapanda ya Kawe, kwenye mataaa zimepinda kuelekea kawe. Yaani pale hamna kitu. Yaani ni kituko pale
Una uhakika na hicho ukisemacho?Ni Mradi wa Kikosi #34KJ hapo Lugalo ambao Unajumuiisha Askari wa Vyeo mbalimbali (japo wale Commissioned ndiyo wengi ) ambapo walitakiwa kuzijenga Wenyewe na wakishaanza Biashara hawatodaiwa Kodi kwa (ndani) ya miaka Miwili.
Kwani kituo ni ishu,si kinawekwa tu.Ishu ni mazingira palivyo maana hamna hata kituo cha daladala maeneo yale
Nahisi ndio bucha kongwe Tanzania,tangu 1996Ile bucha kongwe ya kitimoto
Iko karibia na makongo shule
Dah bucha kongwe Ile
Ova
Ungesema uko nchi gani ndio tungejua sisi tuna kitu gani dhidi ya hiyo nchi.Mimi nashangaa eti ipo siku itachukuliwa nchi
Kweli tembea uone
Hapa Jirani yangu kuna kambi ndogo ya wanajeshi tena ni residential area na ninapita kila siku mlangoni wamekaa askari wawili bila silaha ni nchi tajiri na wala hawaoni kama ni tatizo
Leo sisi tuna nini nchi ishikwe [emoji23][emoji23]
Uhakika nilionao ni wa Wewe kuwa Nut.Una uhakika na hicho ukisemacho?
Askari inasimama yenyewe askari msimamia sheria, hali ya Uraia ashauvuka tayari, Na Raia ni raia tu kufuata SheriaAskari sio raia kwani?.
Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.Ndugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapo
Majukumu ya 34Kj hayajawahi kubadilika. 1. Kuwalinda viongozi waandamizi wa JWTZ. 2. Kuulinda mji wa Dar es Salaam. 3. Kuwa tayari kwa lolote muda wowote. Ndiyo maana wako standby 24/7. Sijawahi Fikiri JWTZ ni zembe ila napiga uamuzi wa kujenga vibanda vya biashara kwenye fence yake. Hata Ingekuwa adminstrative unit, kumkaribisha raia yeyote kukaribia kambi kiasi hicho haikubaliki kiusalama.Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.
Lugalo imebaki kama administrative Barracks tu lakn nguvu kubwa ilishatolewa so usije ukadhan JWTZ ni zembe kama unavyofikiri kichwan mwako.
Askari inasimama yenyewe askari msimamia sheria, hali ya Uraia ashauvuka tayari, Na Raia ni raia tu kufuata Sheria
Ndio Maana Askari anaweza ombwa nchi yeyote kukiwa na uhitajikaji wake akasimamie Sheria nchi nyingine.