Malawi nchi masikini kuliko zote ukanda huuHizi sasa sifa jamanini..Yaani hata mechi ya kirafiki lazima timu itoke nje ya nchi [emoji3][emoji3][emoji3]
hata kama nchi masikini viwango vyao vya fifa vikoje
Malawi nchi masikini kuliko zote ukanda huu
Hizi sasa sifa jamanini..Yaani hata mechi ya kirafiki lazima timu itoke nje ya nchi [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unapoteza muda kujaribu kumuelewesha huyo chura.Ni sawa na kumfundisha fisi kupanda mti unapoteza muda wako.
njaa tu bora reha au hujawahi kufika MalawiMbona unaweweseka mkuu..Kwani wapi nimesema Malawi nchi Tajiri, nimezungumza timu kutoka nje, tofauti na timu za Tanzania Reha FC au Mawenzi FC ya Morogoro[emoji3][emoji3][emoji3]
wako juu sababu wachezaji wao wengi wa Taifa wanacheza South Africa wanalipwa $700 masikini njaa tuKwa ubora wa soka yuko juu kuliko Tanzania kwa viwango vya FIFA, Malawi 125 kwa Tanzania 136.
Na kwa Klabu ya Big Bullets FC wao ndo vinara wa ligi kuu..Malawi Premier League (MPL), usisumbuke aisee wewe endeleeni na kijipima na African Lyon [emoji3][emoji3][emoji3]
wako juu sababu wachezaji wao wengi wa Taifa wanacheza South Africa wanalipwa $700 masikini njaa tu
Yes..Ndo maana Simba wakaona ni kipimo kizuri kwa kuwa wametuzidi kimpira..
Njaa si kigezo kwetu, suala je wanajua mpira? Ukizungumza uchumi Marekani iko juu kiuchumi kuliko Ubelgiji ambao wanashika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA
Ngasa alivunja mkataba na Free state kwa ajili gani?? mshahara mdogo....Dida kwa nini karudi Simba..timu zinazolipa vizuri South Africa in tatu au NNE tuYes..Ndo maana Simba wakaona ni kipimo kizuri kwa kuwa wametuzidi kimpira..
Njaa si kigezo kwetu, suala je wanajua mpira? Ukizungumza uchumi Marekani iko juu kiuchumi kuliko Ubelgiji ambao wanashika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA