Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mabingwa wa nchi ya Tanzania Simba Sports Club inatarajia kukwaruzana na Klabu ya Nyasa Big Bullets FC ambao ni vinara wa ligi kuu nchini Malawi Ijumaa ya Novemba 16, 2018 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Simba SC katika mchezo huo wa kirafiki na Nyasa Big Bullets FC, ni katika kuendelea kuwa sawa kwenye kikosi hicho, pia ni maandalizi ya kujiandaa katika michuano ya kimataifa kwa mchezo wa Novemba 27/28 dhidi Mbabane Swallows kutoka Swaziland, katika michuano ya klabu Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.