Friendly Match: Simba Sports Club kupapatuana na Big Bullets FC Uwanja wa Taifa, Dar es salaam

Friendly Match: Simba Sports Club kupapatuana na Big Bullets FC Uwanja wa Taifa, Dar es salaam

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mabingwa wa nchi ya Tanzania Simba Sports Club inatarajia kukwaruzana na Klabu ya Nyasa Big Bullets FC ambao ni vinara wa ligi kuu nchini Malawi Ijumaa ya Novemba 16, 2018 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Simba SC katika mchezo huo wa kirafiki na Nyasa Big Bullets FC, ni katika kuendelea kuwa sawa kwenye kikosi hicho, pia ni maandalizi ya kujiandaa katika michuano ya kimataifa kwa mchezo wa Novemba 27/28 dhidi Mbabane Swallows kutoka Swaziland, katika michuano ya klabu Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
IMG_20181112_193420_549.jpeg
 
Kwa ubora wa soka yuko juu kuliko Tanzania kwa viwango vya FIFA, Malawi 125 kwa Tanzania 136.

Na kwa Klabu ya Big Bullets FC wao ndo vinara wa ligi kuu..Malawi Premier League (MPL), usisumbuke aisee wewe endeleeni na kijipima na African Lyon [emoji3][emoji3][emoji3]
Malawi nchi masikini kuliko zote ukanda huu
 
Haa haa unafikiri tutachoka kutoa darasa kwa hawa Gongowazi mkuu?

Kama tunawafundisha mpira wa burudani pamoja na ushindi na hawakubali hata hili hawawezi kukubali aisee..SimbaNguvuMoja

Hata hivyo umemaliza kila kitu hapo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unapoteza muda kujaribu kumuelewesha huyo chura.Ni sawa na kumfundisha fisi kupanda mti unapoteza muda wako.
 
Mbona unaweweseka mkuu..Kwani wapi nimesema Malawi nchi Tajiri, nimezungumza timu kutoka nje, tofauti na timu za Tanzania Reha FC au Mawenzi FC ya Morogoro[emoji3][emoji3][emoji3]
njaa tu bora reha au hujawahi kufika Malawi
 
Kwa ubora wa soka yuko juu kuliko Tanzania kwa viwango vya FIFA, Malawi 125 kwa Tanzania 136.

Na kwa Klabu ya Big Bullets FC wao ndo vinara wa ligi kuu..Malawi Premier League (MPL), usisumbuke aisee wewe endeleeni na kijipima na African Lyon [emoji3][emoji3][emoji3]
wako juu sababu wachezaji wao wengi wa Taifa wanacheza South Africa wanalipwa $700 masikini njaa tu
 
Yes..Ndo maana Simba wakaona ni kipimo kizuri kwa kuwa wametuzidi kimpira..

Njaa si kigezo kwetu, suala je wanajua mpira? Ukizungumza uchumi Marekani iko juu kiuchumi kuliko Ubelgiji ambao wanashika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA

Ngasa alivunja mkataba na Free state kwa ajili gani?? mshahara mdogo....Dida kwa nini karudi Simba..timu zinazolipa vizuri South Africa in tatu au NNE tu
 
Mkuu nilikutahadharisha endelea kumpigia mbuzi gitaa kuna siku atangundua ni muziki.Good luck mkuu.
 
Pongezi kwa team coach kuomba mechi ya kirafiki..
Hawa wanaobeza humu ebu watuambie kati ya MANJI na AKILIMALI tucheze na nan?
 
African lyon haijawahi kukaa hata big 4 lkn wanacheza nayo kila siku friend match.. hapo ndio ujue bongo nyoso
 
Mkuu nilikutahadharisha endelea kumpigia mbuzi gitaa kuna siku atangundua ni muziki.Good luck mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3]Haya mkuu nimekusoma
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Haya tena bingwa kwa bingwa si ndo leo..SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom