'Friends of Raila'...(F.O.R.A.) watangaza kuwa bosi wao ameshinda kura za jumla nchi nzima

HIVI UNA UCHUNGU KAMA MIMI? Ukabila unaenda kuimaliza Kenya na hii itasababisha kuwepo Guerrilla wars kama ilivyokuwa Rwanda la sivyo Kenya itabakia nchi inayoongozwa katika misingi ya kikabila. Ni wazi kabisa watu wamepiga kuru kwa misingi ya ukabila licha ya kwamba Uhuru Kenyatta ni mtuhumiwa mkuu wa Mahakama ya the Hugue na mvuta bangi na mlevi bado wamempa nchi aongoze. Shame on them.
una utani na Hamada wewe
 
Hata kwa tathmini yangu naona Kenyatta ataongoza ila sikuwa na uhakika wa yeye kushinda round ya kwanza.Kitu cha ajabu sana ambacho hakikutarajiwa na wengi ni kuanguka kwa washindani wengine na kusabibisha uchaguzi kuonekana wa watu wawili.Nilitegemea hawa wengine watafanya vizuri Maeneo yao.Inashangaza mtu kama Keneth hajafikisha hata 30,000 ya kura!
chezea kenya wewe..........kule ni mwendo wa unatoka kabila
 
kwa hiyo atakuwa anatoka ikulu na kwenda kuudhuria kesi kwa bi nsuda?
yanatokea nisioyatarijia kabisa
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

...Jubilee Team imeshamaliza kazi ya kujumlisha kura, kupitia taarifa za mawakala wao waliokuwepo kwenye vituo vya kura nchi nzima, wanasema matokeo ni mazuri kwao ila hawawezi kuyatangaza kwa sababu kisheria ni tume tu ndio inapaswa kutangaza, timu yao saizi inafanya kazi ya kuhakiki matokeo ya tume yanayotangaza kuhakikisha kuwa yanafanana na yale ya vituoni. Pia Jubillee wameshaandaa jukwaa ambalo Uhuru Kenyatta na Ruto watatoa hotuba zao, baada ya Tume kutangaza rasmi matokeo...

...Source: CITIZEN TV LIVE..

MyTake: kutokana na confidence ya Jubilee kwenye centre yao ya kujumlisha kura, Conclusion ni kuwa Uhuru Kenyatta ameongoza kura za Urais ILA TUSICHOJUA NI KAMA KAPATA ZAIDI YA 50% ILI KUEPUKA KURA YA MARUDIO..
 
Mkuu wangu livefire mimi nilitaka Raila ashinde huu mtanange bahati mbaya tangu jana mpaka leo anatimuliwa vumbi mtindo mmoja kiasi kwamba sisi mashabiki wake huku Tz tumeshanyoosha mikono juu kuashiria tumeshindwa.Ghafla bin vuu wanatokea wachokonozi wanatupa moyo jembe letu Raila anaweza shinda !.

Nimeshakata tamaa nasubiri mechi ya Real na Manchester tumpige Jose ili tupunguze maumivu y kushindwa na wahalifu wa ICC.

Raila is winning.
 
Last edited by a moderator:

...Pole sana Ngongo, una bahati mbaya sana leo, subiri kipigo kingine, go Real go...
 
Hapa ndio ujue fika kuwa Raila odinga anaweza asikubali matokeo kama akishindwa!
 
Naona wamejiandaa kuto kubaliana na matokeo!

Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.
 
Mkuu wangu livefire mimi nilitaka Raila ashinde huu mtanange bahati mbaya tangu jana mpaka leo anatimuliwa vumbi mtindo mmoja kiasi kwamba sisi mashabiki wake huku Tz tumeshanyoosha mikono juu kuashiria tumeshindwa.Ghafla bin vuu wanatokea wachokonozi wanatupa moyo jembe letu Raila anaweza shinda !.

Nimeshakata tamaa nasubiri mechi ya Real na Manchester tumpige Jose ili tupunguze maumivu y kushindwa na wahalifu wa ICC.

Kaka Ngongo, maumivu yakizidi usikate moyo; matokeo yaliyotumwa kutoka iebc ni asilimia 40 tu, kwa hizi, mahame ya Cord wametuma asilimia 35 tu. Mitambo ya iebc imefeli kabisa.....kura zinabebwa moja kwa moja hadi "tallying centers". Safaricom wametuangusha lakini usiwe na hofu, maagenti wamefanya kazi ya ziada...hakutakuwa na mihemko au ubadilishanaji wa takwimu za kura. Raila ameeanza kupaa sasa...45 asilimia kulingana na matokeo ya muda na uk asilimia 50.
 
pole sana aisee, loh!
unajua mama yake Raila ana asili ya Tanganyika, loh!!
Jaluo wote mama yao mtu wa Tanga, wajomba zetu hao. (ukabila kidogo ruksa)
 
Hapo kweli watu wanaweza wasikubali matokeo ila bado hali si ya kukatisha tamaa kiasi hicho tusubiri na tuone mwisho wa mtanange huu.
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

Wanawashwa hao.
ukisikia kura za maruani ndio hizo...
 
Mkuu livefire nakutegemea sana tafadhali utujuze kila kinachoendelea huko Kenya unajua jirani akipata matatizo lazima kwa namna moja au nyingine tutaathirika.Jana Arusha kulikuwa na foleni ya kufa mtu nilipodadisi nikaambiwa waKenya wenye asili ya asia (waHindi) wamekuja kwa wingi Arusha kukwepa hadhaa ya vurugu zinazoweza kutokea.

Kaka Ngongo, maumivu yakizidi usikate moyo; matokeo yaliyotumwa kutoka iebc ni asilimia 40 tu, kwa hizi, mahame ya Cord wametuma asilimia 35 tu. Mitambo ya iebc imefeli kabisa.....kura zinabebwa moja kwa moja hadi "tallying centers". Safaricom wametuangusha lakini usiwe na hofu, maagenti wamefanya kazi ya ziada...hakutakuwa na mihemko au ubadilishanaji wa takwimu za kura. Raila ameeanza kupaa sasa...45 asilimia kulingana na matokeo ya muda na uk asilimia 50.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Kenya nami ninakubaliana na hao friends of Raila kuwa ameshinda kwa sababu mbili kuu zifuatazo; Kwanza matokeo yaliyoanza kutolewa na kuonyesha Uhuru Kenyatta kuongoza kumbe yalikuwa ni yale ya kutoka katika ngome za kwao Rift Valley na mengi ya matokeo kutoka jimbo la Nyanza Kisumu ambako Raila ana wapenzi wengi wengi yalikuwa hayajaletwa kujumlishwa.Pili,meneo ya Pwani yamemchagua Raila kwa wingi wa kura.Ukiangalia matokeo yalivyo sasa hivi mchuano si wa mbali sana jambo linalonishawishi kuwa hizo kura za Kisumu karibu majimbo 7 yakijumlishwa pamoja na yale ya Mombasa hii inampa Raila ushindi mkuwa kabisa usiohitaji hata marudio ya uchaguzi.
 
Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

kwa ujumla lolote linaweza kutokea, pamoja na Uhuru kuonekana anaongoza bado haijampa uhakika kwa sasa maana vituo vilivyotoa matokeo ni vichache ni chini ya nusu. Itaniuma sana asipopita Odinga maana hilo ndilo namtakia baada ya kufanyiwa dhuruma mwaka 2007. Asipopata basi namba wana JF mnipe pole maana sitajisikia raha hata kidogo.
 
Mkuu Mario Gomez natamani ulichokisema ndiyo uwe ukweli wenyewe wakati iebc itakapotangaza mshindi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mario Gomez asante sana kwa taarifa.

Unaweza kwenda dip kidogo ie Nyanza Kisumu inawapiga kura wangapi.Je Mombasa unadhani Raila atanyakua kura kwa asilimia kubwa.Jana kuna majimbo ya huko Mombasa kama sikosei Lamu Uhuru kapata kura nyingi.

Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi wa Kenya nami ninakubaliana na hao friends of Raila kuwa ameshinda kwa sababu mbili kuu zifuatazo; Kwanza matokeo yaliyoanza kutolewa na kuonyesha Uhuru Kenyatta kuongoza kumbe yalikuwa ni yale ya kutoka katika ngome za kwao Rift Valley na mengi ya matokeo kutoka jimbo la Nyanza Kisumu ambako Raila ana wapenzi wengi wengi yalikuwa hayajaletwa kujumlishwa.Pili,meneo ya Pwani yamemchagua Raila kwa wingi wa kura.Ukiangalia matokeo yalivyo sasa hivi mchuano si wa mbali sana jambo linalonishawishi kuwa hizo kura za Kisumu karibu majimbo 7 yakijumlishwa pamoja na yale ya Mombasa hii inampa Raila ushindi mkuwa kabisa usiohitaji hata marudio ya uchaguzi.
 
jamani ngome za raila bado vutane subira kidogo.. hali inaweza kuchange.
 
Back
Top Bottom