mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 874
una utani na Hamada weweHIVI UNA UCHUNGU KAMA MIMI? Ukabila unaenda kuimaliza Kenya na hii itasababisha kuwepo Guerrilla wars kama ilivyokuwa Rwanda la sivyo Kenya itabakia nchi inayoongozwa katika misingi ya kikabila. Ni wazi kabisa watu wamepiga kuru kwa misingi ya ukabila licha ya kwamba Uhuru Kenyatta ni mtuhumiwa mkuu wa Mahakama ya the Hugue na mvuta bangi na mlevi bado wamempa nchi aongoze. Shame on them.