The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ngoja kwanza nimalizie haka kaglasi kangu ka gongo kisha ndio nichangie huu uzi.Kila ninapo ona pombe inachafuliwa jina, hua naumia sana kwa masikitiko makali...😪
Hii hakuna kurudi nyuma no alcohol intake from now onwardsAll the best. Mimi nimejaribu mara nyingi nimeshindwa. Mwaka Jana nilitoboa mpaka miezi 7. Nikapata pesa fulani niliuza kiwanja ikawa trigger. Sasa hivi siachi tena ila nakaa mbali na simu.
🤣Nipo tayari kukusapoti na kusimamia Mr loose Nut kuacha mabange #BangeNiMbaya
Okoa mapafu na akili yako Mr Loose nut bado haujachelewaView attachment 3692905
Radha kamili, sifa thabitiSafari lager unaiacha hivi hivi
Umetisha sana mkuu...Ngoja kwanza nimalizie haka kaglasi kangu ka gongo kisha ndio nichangie huu uzi.