From series msimu wa 3 umetoka

Napenda wanavyosmile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi walitokea wapi ni walikufa katika huo mji eti mbona wanaokufa hawa wapya hawaji
Acha tu wana smile huku wanakufata taratiiiibu hawana haraka kabisa, haijajulikana walitokea wapi hata na wenyewe bado wana struggle kujua ilikuaje, kuhusu ni wale watu waliokufa sio kweli hao wapo hapo hapo
 
Hii ya 7 inafikirisha sana kile kibibi tulidhani na chenyewe ki monster matokeo yake Fatima kamuua lakini kamwambia 'Run' sasa sijui akimbilie wapi na kwanini, namsikitikia Fatima atakuja kuend up kama Sara 😭, sasa huyu Elgin kuingia mule peke yake πŸ™Œ kinachokera ni vile ambavyo hawapendi kufanya kazi pamoja, kila mmoja yupo busy kutafuta answers peke yake, Victor na mdoli wake😁 nahisi Gasper anaweza akaelewana na Jade
 
Naunga mkono hoja hapo patamu πŸ˜ƒ
 
Series kila character kachanganyikiwaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yani hakuna anaemuelewa mwenzake kabisa..! Njia ya kutoka ni ile ambayo yule dada yake Ethan alitaka kuvuka na yule jamaa mkorofi lakini wakasitaa aisee wangevuka tu ile miamba.
 
Nahisi EP ijayo Itakuwa tamu sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ndo tuone tofauti kati ya director wetu wa kibongo na wenzetum yaan script zinaandikwa Kwa akili sana kias kwamba unapata ham ya kutaka kujua what next. Huku kwetu uliangalia tu episode Moja unaweza kutabiri movie inaisha vp πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Series kila character kachanganyikiwaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ yani hakuna anaemuelewa mwenzake kabisa..! Njia ya kutoka ni ile ambayo yule dada yake Ethan alitaka kuvuka na yule jamaa mkorofi lakini wakasitaa aisee wangevuka tu ile miamba.
Mmh Fromville sio ya kuiamini kihivyo, tangu yule jamaa aingie kwenye ule mti wa maajabu na kudondokea kwenye swimming pool, bora Randall alivyomkataza Jullie huenda lingemkuta jambo
 
Naunga mkono hoja πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hii episode ni balaaaa,
Ila wakianza mambo ya time travel wataniacha njiani,
Nimependa Jade alivyomshushua Jimmy kuhusu mke wake hajakaa sawa na baba ake Victor na yeye akampa kubwa, mwenyewe kavuta kiti kakaaa🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Que sera sera,,, whatever will be will be...the future is not ours to see.. que sera sera.. yaan mwanangu anapenda sana hii opening song πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chunga huyo mtotoπŸ˜‚
 
Hii episode ni balaaaa,
Ila wakianza mambo ya time travel wataniacha njiani,
Nimependa Jade alivyomshushua Jimmy kuhusu mke wake hajakaa sawa na baba ake Victor na yeye akampa kubwa, mwenyewe kavuta kiti kakaaa🀣🀣🀣
EP 9 Itakuwa kalii sana wiki inayofuata ila bado inanipa mawazo ngoja tuone yule Elgin atamfanyaje fatima kule alimpo mpeleke naona yule kimono anataka damu je Fatima atazaa jini na vipi kuhusu Julie yule dogo kumbe yeye ndio alimrushia kamba Boyd kule alipo zama je alifika vipi hapo wanaendelea kutuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…