From series msimu wa 3 umetoka

Tabitha alishaanza kuwa attach na jade kila sehemu wapo, akikumbuka na kabla ya kuja hapo tabitha alishesema anataka talaka jamaa
Alijikuta mwamba 😃
kichwa kilikuwa kimejaa mawazo huenda jade akamchukulia mke, akiwaza na tabitha alishawahi kuomba talaka. Akaona mke anaenda mdogo mdogo nikiwa naona
 
Boyd kutoka kule kwenye basement haitakua rahisi.

Huyu man in yellow akianza kupiga shughuli zake mchana wamekwisha. Kama talisman haimzuii sijui itakuaje

Nafikiri season 4 itakua na massacre nyingi sana, possibly huyu mzee amekuja kuua watu kwa sababu kwa washaanza kuukaribia ukweli wa fumbo la ule mji.

Bila shaka target yake inayofuata ni jade na tabitha. Kuna machale yananiambia uenda huyu man in yellow ndie aliwaua watu wote pale kwenye ule mji akabaki victor peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…