From series msimu wa 3 umetoka

Exactly πŸ’― brother tunashindwa hadi na burundi wao juzi tu Elon musk kawafungia starlink satellite sisi gavoo inakataa
 
Kumbe telegram inataka vpn!? leo naona inanigomea nadowload From na Tulsa King inasema to connectingπŸ€”
Pole aisee ngoja nikupe link ambayo utatumia bila vpn upate from EP ya 5
 
MGM hawajaanza leo Tangu LOST wanavuta mpaka season six alafu mwisho mtaachwa bila majibu ,Bad Ending
From hii upuuzi.
Wanasema wakikosa soko, baada ya reviews na viewership kupungua wanaachana na hizo series.

Unakuta wewe ndo kwanza mzuka umekupanda uanze kutazama series ukifika mahali unatafuta google unaambiwa production ya Series imefungwa kabisa.

BBC waliisimamisha Merlin, BBC hao hao waliachana na Atlantis hii hapo chini πŸ‘‡
Fox nao baada ya kutupa burudani ya Prison Break walitukacha mazima
 
πŸ˜‚ kam series ya Power, wanamrudisha Ghost kwa picha ya mtoto wake Tariq
 
Fox nawalaani sana Hawa jamaa
 
Leo kwenye ep5 limeulizwa swali la msingi na baba yake victor, "motel iko wapi" na kuna bango lake
Ngoja tuone kipande kijacho itakuwaje aisee afu Kuna series inaitwa tea cup nayo Ina vaibu kama ya from itafuteni
 
Series ikiisha na kuacha maswali inakua yakipuuzi sana ,anaemjua Main character wa From mpka sasa atuambieπŸ˜…πŸ˜…
 
Boyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi
Na wanajua wakimgusa tu watakufa maana bado ana damu Yao na yeye ndiye muhuni wa kwanza kugundua talisman zile hirizi
 
Dah jamaa wanatarget mauzo na sasaiv hawatoi complete season wanatoa ep kila weekπŸ˜…πŸ˜…
Wanapiga sana pesa mkuu kwa Kila EP wanapata watazamaji wengi Sana mfano wa series iliokula pesa kwa Kila EP kwa sasa ni the penguin afu inafata from
 
Ni Boyd pale πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
Monsters hawana shida nae hata kidogo, wanataka tu kumtesa, na kuangalia shida nyingi amesolve yeye, sasa wanaona huyu mjinga tumvuruge kwanza akili na kumgombanisha na watu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…