From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Haya mambo ya gavoo tuyaache tu, furaha hii tuliyonayo hata kama ni ya kupima robo robo inatosha. Tuko na poor technology, poor infrastructure, inadequate innovations, unnecessary clout chasing stunts na madude kibao, ya mwisho kabisa sisi ni third world country, so we should expect nothing better.
Exactly 💯 brother tunashindwa hadi na burundi wao juzi tu Elon musk kawafungia starlink satellite sisi gavoo inakataa
 
MGM hawajaanza leo Tangu LOST wanavuta mpaka season six alafu mwisho mtaachwa bila majibu ,Bad Ending
From hii upuuzi.
Wanasema wakikosa soko, baada ya reviews na viewership kupungua wanaachana na hizo series.

Unakuta wewe ndo kwanza mzuka umekupanda uanze kutazama series ukifika mahali unatafuta google unaambiwa production ya Series imefungwa kabisa.

BBC waliisimamisha Merlin, BBC hao hao waliachana na Atlantis hii hapo chini 👇
1000000200.jpg

Fox nao baada ya kutupa burudani ya Prison Break walitukacha mazima
1000000199.jpg
 
Kuna series ambayo ipo kwenye genre ya thriller na comedy inaitwa "Only Murders in the Building", humo yupo Selena Gomez na wazee wawili. Kuanza kwake kulikuwa simple sana, season 1 iliisha tukaenda Season 2, hatujakaa sawa hii hapa Season 3 na sasa kama utani tumeletewa Season 4.

Waandishi wakiona series au movie imependwa chapu wanapiga ma "plot twist" na surprises kibao mnajikuta-watazamaji mnaletewa miendelezo. Angalia Extraction jinsi walivyotubeba na kutusukumia kwenye muendelezo. Yale yale ya Fast Furious yanarudi huku.
😂 kam series ya Power, wanamrudisha Ghost kwa picha ya mtoto wake Tariq
 
Wanasema wakikosa soko, baada ya reviews na viewership kupungua wanaachana na hizo series.

Unakuta wewe ndo kwanza mzuka umekupanda uanze kutazama series ukifika mahali unatafuta google unaambiwa production ya Series imefungwa kabisa.

BBC waliisimamisha Merlin, BBC hao hao waliachana na Atlantis hii hapo chini 👇View attachment 3131003
Fox nao baada ya kutupa burudani ya Prison Break walitukacha mazima
View attachment 3131005
Fox nawalaani sana Hawa jamaa
 
Leo kwenye ep5 limeulizwa swali la msingi na baba yake victor, "motel iko wapi" na kuna bango lake
Ngoja tuone kipande kijacho itakuwaje aisee afu Kuna series inaitwa tea cup nayo Ina vaibu kama ya from itafuteni
 
Series ikiisha na kuacha maswali inakua yakipuuzi sana ,anaemjua Main character wa From mpka sasa atuambie😅😅
 
Boyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi
Na wanajua wakimgusa tu watakufa maana bado ana damu Yao na yeye ndiye muhuni wa kwanza kugundua talisman zile hirizi
 
Dah jamaa wanatarget mauzo na sasaiv hawatoi complete season wanatoa ep kila week😅😅
Wanapiga sana pesa mkuu kwa Kila EP wanapata watazamaji wengi Sana mfano wa series iliokula pesa kwa Kila EP kwa sasa ni the penguin afu inafata from
 
Ni Boyd pale 😄😃😀😀
Monsters hawana shida nae hata kidogo, wanataka tu kumtesa, na kuangalia shida nyingi amesolve yeye, sasa wanaona huyu mjinga tumvuruge kwanza akili na kumgombanisha na watu wake
 
Back
Top Bottom