From series msimu wa 3 umetoka

Boyd, kwangu mimi huyo ndiye main, na kinachotokea kwa sasa wale viumbe wanamkomoa tu, na ndio maana kuna muda yeye mwenyewe haelewi
Mm naona kuna main characters zaidi ya watano muleπŸ˜…πŸ˜…
 
Usipate jazba mapema, inawezekana Main Character ndo hayo Ma-ghost, mbeleni tutaanza kuwaonea huruma hao ma-ghost πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„Kuna yule tomas sijui ndio nani au ndio yule dogo anae vaa nguo nyeupe juu na chini
 
Monsters hawana shida nae hata kidogo, wanataka tu kumtesa, na kuangalia shida nyingi amesolve yeye, sasa wanaona huyu mjinga tumvuruge kwanza akili na kumgombanisha na watu wake
Exactly πŸ’― mkuu na ndio maana walianza na Randall na soon EP ijayo wataleta mabalaa mengine wale wahuni
 

Huyu naona ni kama Fatima maana ukiangalia kwenye ile series inavyoanza Kuna mtu kachorwa kama huyu na alimuuua yule mumewe hii series tunapoelekea ni balaa sana na tuliambiwa Kuna sapraizi ya monster wapya
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€watch list nikitoka night leo kesho nashindia series na kesho kutwaπŸ˜€πŸ˜€
 

Attachments

  • 9DD7EAC1-C137-4BBB-A6E8-A82A249B26CC.jpeg
    681.4 KB · Views: 6
Sema Victor tunamchukulia poa yeye ndio solution , Boyd hajawahi kufichua chochote zaidi ya kupewa data na wenzio yey kuuliza uliza tu I know I knowπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Jamaa ndio suluhisho, kuna combi ya victor + baba yake + Tabitha + Boyd + Jade... Ila kuna mmoja wao lazima afanywe chakula cha monsters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…