Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #241
Ni balaaSio powa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni balaaSio powa
TAbitha ni mama ake victor amekuja kivingineMkuu Greatest Of All Time vikita ndio dada yake Tabitha 😃😀😀😀
Kila mmoja anakua manipulated kwa style yake, ila kwa jim waligonga mwamba walimpigia simu wakijifanya ni thomas jamaa akashtukia hakuna shugjuli hapa na simu yenyewe akaivunja. Episode ya mwisho wakati jim yupo kwenye gari waliloanguka nalo ilipigwa tena simu kujifanya ni thomas mwamba kawapotezea tenaElgin hawezi kuwafanya waondoke, anatumiwa kama walivyokua wanamtumia Sara, wale monsters kazi yao ni ku-manipulate akili zao tu, na Boyd aliambiwa kinachowabreak ni HOPE.
Inawezekana mkuu, ukiangalia kwa makini utaona wale wahusika ni reincarnated verson ya wahusika wa nyuma waliokuwepo pale fromville.Ngoja tuone, wasije wakasema Julie ndie dada ake Victor tu 🤣🤣
Na fumbo lenyewe ni gumu sana mkuu ila naona hii series ikiongezeka kwa misimu mingine zaidi ingefaa mwakani watupe season 4Mpaka tulipofikia bila shaka Tabitha ni reicarnated version ya miranda, amerudi fromvile kuwaokoa wale watoto
Tkumbuke kabla miranda hajafika fromville nae alishauona ule mji kwa maana iyo na yeye ni reicarnated verson ya mtu mwingine ambaye alikuwepo pale fromville.
Miranda alikua reicarnated version ya nani, hawa watoto ni wakina nani, walifikaje, nini kifanyike kuwaokoa? Ndicho kitendawili cha kukitegua.
Jade ni reicarnated version ya christopher kwa sababu anaziona zile symbol alizokua anaziona christopher vile vile tumeona ule mdoli jasper umemuongelesha. Jade na tabitha wapo fromville kwa sasa., swali hapa sasa huyu christopher na miranda kipindi wapo fromville walikua na uhusiano gani? Kitendawili kingine hiki
Mimba ya Fatima ni nini kipo tumboni? Kwa anayopitia mfano kula vyakula vilivyooza na damu ya watu na ukizingatia kwamba mimba yenyewe haionekani kwenye utrasound huwa nawaza labda kuna monster mmoja anarudi kupitia tumboni kwa Fatima, mawazo yangu ya kijinga jinga yananiambia huyu ni bwana smiley anarudi, uenda tutakua nae kwenye season 4. Tusubiri tuone
Vitendawili vya kutegua ni vingi sana. Lakini bila shaka msingi wa tamthilia ninkwamba kuna wazazi waliwaua watoto wao possibly kwa kuwatoa kafara na hao watoto wanatakiwa kuokolewa, hapa tukimzingatia boy in white tunaweza kupata clue
Wale main characters almost wote ni reicarnated version ya watu waliokuwepo pale fromville kabla. Sasa waliingiliana vipi, nani alikua chanzo cha msala wote huu? hapo ndipo kuna fumbo ambalo victor anatakiwa kuweka kumbukumbu zake vizuri ili wapate muongozo
Bila shaka season 4 inakuja kwa sababu mysterious zote mpaka sasa haziwezi kuwekwa wazi kwenye episode ya 10 ambayo bila shaka itakua ndio episode ya mwisho kwa season 3.Na fumbo lenyewe ni gumu sana mkuu ila naona hii series ikiongezeka kwa misimu mingine zaidi ingefaa mwakani watupe season 4
Oya smile kazaliwa upyaaa 😃😃😃Attention 😀
Afu smile kazaliwa upyaaa 😃 😀Elgin die
Jimmy die
Sera anatumika ama aisee sijaelewa
Na Julie anaweza ku time travelAfu smile kazaliwa upyaaa 😃 😀
Exactly 💯 ngoja tuone msimu ujaoNa Julie anaweza ku time travel
Season 10 imetoka? nipe link mzeeExactly 💯 ngoja tuone msimu ujao
Ukiwa hauna cha kuchangia usije kuharibu Uzi sawa mkuu nakupa onyo tu usirudie kwenda kinyume na mjadala adiosSeason 10 imetoka? nipe link mzee