From series msimu wa 3 umetoka

From series msimu wa 3 umetoka

Elgin hawezi kuwafanya waondoke, anatumiwa kama walivyokua wanamtumia Sara, wale monsters kazi yao ni ku-manipulate akili zao tu, na Boyd aliambiwa kinachowabreak ni HOPE.
Kila mmoja anakua manipulated kwa style yake, ila kwa jim waligonga mwamba walimpigia simu wakijifanya ni thomas jamaa akashtukia hakuna shugjuli hapa na simu yenyewe akaivunja. Episode ya mwisho wakati jim yupo kwenye gari waliloanguka nalo ilipigwa tena simu kujifanya ni thomas mwamba kawapotezea tena
 
Ngoja tuone, wasije wakasema Julie ndie dada ake Victor tu 🤣🤣
Inawezekana mkuu, ukiangalia kwa makini utaona wale wahusika ni reincarnated verson ya wahusika wa nyuma waliokuwepo pale fromville.

kumbuka hata jade anaziona zile symbol alizokua anaziona christopher. Bila shaka jade ni version ya christopher, na tabitha ni version ya miranda.

Kumbuka miranda aliiona fromville kabla hajafika, je huyu christopher alikua version ya nani.

Combination ya tabitha+jade+victor.. ina kitu hii haijaamua tu kukaa pamoja.
 
Mpaka tulipofikia bila shaka Tabitha ni reicarnated version ya miranda, amerudi fromvile kuwaokoa wale watoto

Tkumbuke kabla miranda hajafika fromville nae alishauona ule mji kwa maana iyo na yeye ni reicarnated verson ya mtu mwingine ambaye alikuwepo pale fromville.

Miranda alikua reicarnated version ya nani, hawa watoto ni wakina nani, walifikaje, nini kifanyike kuwaokoa? Ndicho kitendawili cha kukitegua.

Jade ni reicarnated version ya christopher kwa sababu anaziona zile symbol alizokua anaziona christopher vile vile tumeona ule mdoli jasper umemuongelesha. Jade na tabitha wapo fromville kwa sasa., swali hapa sasa huyu christopher na miranda kipindi wapo fromville walikua na uhusiano gani? Kitendawili kingine hiki

Mimba ya Fatima ni nini kipo tumboni? Kwa anayopitia mfano kula vyakula vilivyooza na damu ya watu na ukizingatia kwamba mimba yenyewe haionekani kwenye utrasound huwa nawaza labda kuna monster mmoja anarudi kupitia tumboni kwa Fatima, mawazo yangu ya kijinga jinga yananiambia huyu ni bwana smiley anarudi, uenda tutakua nae kwenye season 4. Tusubiri tuone

Vitendawili vya kutegua ni vingi sana. Lakini bila shaka msingi wa tamthilia ninkwamba kuna wazazi waliwaua watoto wao possibly kwa kuwatoa kafara na hao watoto wanatakiwa kuokolewa, hapa tukimzingatia boy in white tunaweza kupata clue

Wale main characters almost wote ni reicarnated version ya watu waliokuwepo pale fromville kabla. Sasa waliingiliana vipi, nani alikua chanzo cha msala wote huu? hapo ndipo kuna fumbo ambalo victor anatakiwa kuweka kumbukumbu zake vizuri ili wapate muongozo
 
Na fumbo lenyewe ni gumu sana mkuu ila naona hii series ikiongezeka kwa misimu mingine zaidi ingefaa mwakani watupe season 4
 
Na fumbo lenyewe ni gumu sana mkuu ila naona hii series ikiongezeka kwa misimu mingine zaidi ingefaa mwakani watupe season 4
Bila shaka season 4 inakuja kwa sababu mysterious zote mpaka sasa haziwezi kuwekwa wazi kwenye episode ya 10 ambayo bila shaka itakua ndio episode ya mwisho kwa season 3.

Fatima kagundua kuna basement kule alipofungiwa na elgin wakati anapambana kufungua ulitokea ule mzimu ukamzuia sasa swali ni je kuna nini kule chini?

Boy in white alimzuia victor kuukata ule mti na akamsisitiza ule mtu ni wa muhimu sana lakini akueleza zaidi. Bado huyu boy in white haijulikani lengo lake haswa ni nini.

Season 8 tumeoneshwa pia julie ali-experience time-travel ambapo aliwaona victor na mama ake kule pangoni. Je julie ni reincarnate version ya nani

Halafu kuna wazo jingine limenijia akilini. Wakati wengi tunafikiri Tabitha ni mama ake victor uenda ukweli ukawa kwamba tabitha ni dada ake victor, kwa sababu kwenye kumbukumbu za tabitha katika season 9 pale mwishoni tunaoneshwa mama ake victor alikimbilia kwenye ule mti na akaliwa na wale monster kwa maana iyo alikufa lakini so far hatujui dada ake victor aliishia wapi baada ya kumkimbilia mama ake na kumuacha victor peke ake kule kwenye andaki

Tukisema dada ake victor alifanikiwa kutoka fromville kupitia ule mti ambaye ndio huyu tabitha hii nadharia inakataa kwa sababu tofauti ya umri wa victor na tabitha ni kubwa sana ukilinganisha na tofauti ya umri wa victor na dada ake.

Inachanganya sana hii tamthilia, ukiunganisha dot kutaka kujua kama tabitha no dada ake au mama ake victor kuna sehemu inakataa halafu kuna sehemu inakubali

Vitemdawili vya kutegua ni vingi na season 3 ishaisha wacha tusubori season 4 uenda tukapata mwangaza

The show is going nowhere fast, too many threads started then gone no place. I think even after season 4 there will be season 5.
 
1000010041.jpg
 
Back
Top Bottom