From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Kazi kweli kweli
 
Asante Mungu Kwa kutupa SSH kuwa Rais wetu
 
Wapuuzi tu.kwa hiyo walitaka chato isijengwe?kama hawataki chato ijengwe wangeikataa ili iwe sehemu ya rwanda au burundi.yaani wanataka kuwabaguwa watz wa chato ili wasipate huduma za kijamii?Nani anunue hiyo takataka
Sisi tumesha nunua hakika ni kitabu kizuri Sana
 
Kazi kweli kweli
Ndo hivyo, kama hutaki kuandikwa, usiingie kwenye siasa.

Ukishaingia kwenye siasa, umekubali kuandikwa vizazi na vizazi.

Mpaka leo watu wanamuandika Caligula.

Unamjua Caligula wewe?

Caligula katawala enzi za maisha ya Yesu, miaka 2,000 iliyopita, lakini mpaka leo watu wanamuandika vituko vyake.

Itakuwa huyo Magufuli kafa hivi karibuni tu?
 
Kamdanganye anaembato mazaako
 

Magufuli kaharibu eh!!!

Hii nchi inapotea sababu wanafiki ni wengi.
Huyo bagonza haoni yanayoendelea kwa sasa??
 
Magufuli kaharibu eh!!!

Hii nchi inapotea sababu wanafiki ni wengi.
Huyo bagonza haoni yanayoendelea kwa sasa??
Kwenye logic hili kosa linaitwa "logical non sequitur".

Yani unaunganisha mambo mawili ambayo hayana muungano.

Ikiwa utawala wa sasa unaharibu, hilo halina maana Magufuli hakuharibu.

Tena, inawezekana utawala wa sasa unaharibu kwa sababu umejifunza kuharibu kwenye utawala wa Magufuli.

You are creating a false dichotomy, a fake mutual exclusivity.

Nimeona watu wengi wakiwa na huu ujinga kwamba ukimsema Magufuli basi lazima unamtetea Samia, wakati wote wanaweza kuwa walewale tu!
 
Hakika Mungu Yu mwema Kwa kumleta Rais mpenda haki mama Samia,Mungu aliona taifa linaangamia kwa ushamba,ulimbukeni,majivuno,umungu mtu,mauaji,ukabila,ukanda,na ulimbukeni uliotukuka hakika Mungu wewe ni muweza!! Hukukose

Mpenda haki,anayejua kuishi huru ni haki hata ya mtz mwizi na asiye muadilifu.

Mama ameamua kuwachekea tu,na kuishia kusonya ili asiwakasirishe wapenda haki na watoto wa mjini kama wewe.
 
Ila jiwe was too much tuliishi Kwa hofu sana plus wasiojulikana hata kupiga umbeya ikawa hofu
Jamaa ameivuruga sana hii nchi. Hata siasa za chuki zilishamiri sana wakati wake, kuliko nyakati zingine zote
 
Jamaa ameivuruga sana hii nchi. Hata siasa za chuki zilishamiri sana wakati wake, kuliko nyakati zingine zote
Yani angekuwepo mpaka Leo angesabibisha hata vita vya ukabila na ubaguzi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…