From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Tupe asilimia za miradi yake alivyoanza Hadi siku alipokufa ili tufananishe na ulichokisema
 
Mwandishi wa habari Jesse Kwayu ni chawa wa Mama na ametumwa kuchafua jina la JPM.
 
Magufuli kaharibu eh!!!

Hii nchi inapotea sababu wanafiki ni wengi.
Huyo bagonza haoni yanayoendelea kwa sasa??
Wapuuzi hao achana nao. Wanajitoa akili wakati ukweli wanaujua. Kwani mtu kujenga anapotokea kavunja katiba au sheria gani?

Kwamba angestaafu urais nae angeanza kumuimba rais aliyepo apeleke barabara, hospital, maji, umeme huko Chato.

Mi sina kupuuza. Maana ulikuwa rais hukufanya kwenu. Huo sio uzalendo ni uhanithi.
 
Hakuna mkoa Tanzania ambao haukuguswa na neema za magufuli basi waende wakaandike kitabu pia Cha JPM jinsi alivyoipendelea njombe kwa ujenzi wa barabara za kuinganisha na wilaya zake pamoja na ujenzi wa hospital ya rufaa na miradi ya maji wasiishie hapo waandike kitabu Cha jinsi gani JPM alivyoipendelea Dodoma na DSM
 
Swali ambalo kila siku najiuliza, hivi ingekuaje kama Mungu angemuacha yule bindamu kuwa hai mpka leo hi?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Tanzania nzima ingeunganishwa kwa reli ya umeme na barabara za Rami Hadi kuinganisha Kila Kijiji na gharama za kuinganisha umeme ingekuwa ni 27000Tsh
 
Yaani mafisadi yaendelee kutafuna nchi huku yakiwapoteza maboya Magufuli ni fisadi huku yenyewe yakiendelea kupiga pesa
 
Kimeandikwa na puppets pungaz hao waliokuwa "wateswi" wa JPM, wale waandishi waliokuwa wakilipwa kuandika mabaya tu ya utawala wake.
 
Tupe asilimia za miradi yake alivyoanza Hadi siku alipokufa ili tufananishe na ulichokisema
Tukianza na SGR mpaka January 2021 mradi ulikamilika kwa 91% kutoka dar -moro na 60% kutoka moro - dom.

Huu wa JNHPP mpaka Jan 2021ulifikia 50% wakati Kalemani akiwa waziri wa nishati. Ni mpaka wakati huo kazi kubwa zilikuwa zimeshafanyika ikiwemo
1. Uchimbaji na ujenzi wa handaki la kuchepusha maji ya mto Rufiji(diversion tunnel)
2. Uendelezaji wa ujenzi wa bwawa(main dam and spillways)
3. Ujenzi wa njia kuu za kupitisha maji(tunnels)
4. Ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme( power house)
5. Ujenzi wa kituo cha kusafirisha umeme( switch yard).
 
Hao Wanakagera wawili na askofu wao wangeandika tu kitabu cha kujikwamua na umaskini wa mkoa wao kingeuza sana kwa sababu na wilaya zake ziko bottom kwa umaskini
 
Waandishi wa hichi kitabu kama mmo humu nasema hivi mnaabahati hii nchi sio kama sudani au South Afrca yaani nyie mlitakiwa pamoja na familia zenu kupigwa tu Risasi za kutosha mana hakuna faida ya nyie kuwepo.
Mnaandika kitabu cha hovyo kabsaa kuhusu mtu aliyekwisha kufa badala ya kuelekeza nguvu kwenye uandishi wa maendeleo....Kitabu cha kuchomwa moto Hadharani hiki.
 
Dunia kila siku vituko hatuendelei mbele tunarudi nyuma
 
Nineona kuna sehemu umeandika kustaafu?,kustaafu hakuwa mpango wa magufuli ndio ingekuwa imetoka hiyo kile kiti kingekuwa chake daima
 

Mang’ombe mpo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…