From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Mnangoja nini kuandika hicho kitabu cha mema yake, au nyie sio wabunifu bali ni watu wa kuiga tu baada ya wabunifu kuanzisha jambo?

Mema huwa hayatajwi,maana huwa yanaonekana.
 
Hawa ni wapumbavu.. kwanini hawajaenda kuuliza imekuaje sumbawanga mjini kuna barabara safi na taa za pembezoni.. ?

Simba akizeeka kukimbilia waliko fisi.

Kwanza serikali ipige marifuku hiki kitabu..
 
Hawa ni wapumbavu.. kwanini hawajaenda kuuliza imekuaje sumbawanga mjini kuna barabara safi na taa za pembezoni.. ?

Simba akizeeka kukimbilia waliko fisi.

Kwanza serikali ipige marifuku hiki kitabu..
Waambie serikali wakifute basi
 
Mema huwa hayatajwi,maana huwa yanaonekana.
Kwako ni mema, sisi tunaona ni wajibu wa serikali kupitia kodi za wananchi. Nenda Afrika kusini kama kuna mweusi yoyote anasema miundombinu iliyojengwa na makuburu ni wema. Usichanganye wema na wajibu. Angekuwa volunteer kisha afanye aliyofanya ungetamka neno wema.
 
Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga!! Kama alipewa sumu na wewe uliyempa sumu utakufa kwa sumu!!

Kitabu kimeandikwa na wapinzani sijaona Cha achabu hapo!

Hata kama angekuwa mwizi mwenye kupendelea kwao alikumbuka pia na kwengine.SGR ,Ndege, Mwalimu nyerere hydrolylic power ,Lami zilitandikwa kila Kona ya Nchi, hospitali zilijengwa kila Kona ya Nchi NK ,nK,nK.

Kwani chato siyo Tanzania au? Acheni upumbavu wa kiwango Cha upumbavu!!

Lakini pia afadhali mwizi mmoja kuliko Nchi inavyoliwa kama mchwa kila Kona ya Nchi kwa sasa.soma ripoti ya CAG ndiyo utaona sasa Nchi inavyoliwa kama mchwa! Maofisini hamna madili ya Kazi tena.

Na kwani kitabubkizindukiwe na askofu Bagonza ambaye tunajua alikuwa mpinzani wake.Ndiyo maana Mtu mmoja kasema bukoba ni maskini japo ni wasomi kwa sababu ya ujuaji na usomi wa kijinga.kitabu hicho kikae kanisani kwake wakasome na masisters zake.

Serikali ikipige marufuku likitabu hilo
 
Hawa ni wapumbavu.. kwanini hawajaenda kuuliza imekuaje sumbawanga mjini kuna barabara safi na taa za pembezoni.. ?

Simba akizeeka kukimbilia waliko fisi.

Kwanza serikali ipige marifuku hiki kitabu..
Tayari kitabu kiko sokoni kama vipi na nyie mifugo ya Magufuli andikeni kitabu cha kumpamba, simple!!!
 
Umekisoma kitabu? Umejua maudhui yake? Isije ikawa hujasoma kisha unabweka? Issue kubwa ni kwamba raisi alipendelea alikozaliwa siyo kwamba hakujenga miradi hapana. Alipendelea kwao bila idhini ya bunge. Soma I am the state
 
Imebidi nicheke sana, awe anakubalika sana huko mtaani, ila ikifika kwenye kipimo halisi cha kukubalika kwake ashindwe kuheshimu zoezi hilo! Hii ni kali ya mwaka.
Kwanza nani kasema kuwa hicho ndio kipimo halisi? Kwa hoja zipi? Yani usionekane kukubalika mtaani halafu utuambie et kipimo cha kukubalika ni kwenye uchaguzi?
 
Kumbe kweli alikuwa na mabaya, sasa kuna ubaya gani wa mtu kuandika mabaya yake tu? Nyie si mngejotikeza kuandika mazuri yake tu? Au ni hatua gani walichukuliwa waliokuwa wanaandika mazuri yake tu bila kuchanganya na hayo mabaya yake?
Ukiambiwa hao waliyokuwa wanaandika mazuri tu ni mashabiki zake au chawa waweke, je wewe unayeandika mabaya tu ni nani adui yake au unamchukia tu?
 
Wapumbavu badala ya ku deal na wizi wa sasa wa CAG wako Bize na marehemu tu ,naona group la ngurumo na meena hapo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka leo wapo watafiti wanamtafiti yesu je nao ni wapumbavu? Usije ukawa we ndo mpumbavu kiongozi? Ni mpumbavu sababu hutaki kusikia usiyopenda kusikia juu ya mpumbavu mwenzio jpm
 

Kama ni wajibu na mtu alitimiza wajibu kwanini uandikwe sasa!!!
Hao wazee mataahira wenye mashavu kama ngano za maandazi wametoa kitabu kinachokosoa wajibu uliotimizwa chato,as if chato hakuna watu wanaostahili kutimiziwa haki ya kuwa na miundombinu.

Jk huyo hapo kajenga kwao vizuri sana wamefunika makalio yao,ila jpm imekuwa nongwa,kwanini unafiki kiwango hiki kutokwa kwa watu wazima??

By the way sio tatizo,wacha wawauzie hicho kitabu mazezeta waliowalenga labda wameona fulsa ya kupigia vihela kadhaa kupitia jpm.
 
Bila ya Katiba Mpya yenye kujenga taasisi huru na kuziimarisha, vitabu vya namna hiyo hata viandikwe kila mwaka; ni bure kabisa
 
Aachwe apumzike! Kama serikali ya SSH itaendelea kuruhusu udhalilishaji huu dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi mzalendo aliyetangulia mbele za haki basi wajue wanawakwaza watu wengi sana.
Nadhani tufike mahali tuwe objective. Tukisome kitabu kisha tukichambue na kuona ninkwa kiasi gani kinawasilisha ukweli au vinginevyo. Tutaju ni kwa kiasi gani "I am the State" kinauzugumzia uzalendo wa mwendazake.
 
  • Mswahili hajawahi kudhibitiwa kwa 'kunangwa', ingekuwa 'kumchamba' mswahili kunasaidia; ripoti za CAG zingetosha.
  • Kwa sasa vijiweni kuna malalamiko kuhusu Zenji kupendelewa kwenye mgao wa mikopo. Je tutarajie kitabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…