kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
NdiooooooTuendelee kumshukuru Muumba kwa kutuondolea jinamizi lile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiooooooTuendelee kumshukuru Muumba kwa kutuondolea jinamizi lile!
Kwa nini usipangue hoja zao kwa hoja badala ya mihemko? Ripoti zao CAG zimeanza kutolewa leo? Enzi zao jizi Magufuli ni lini alideal na wizi wa ripoti zao CAG?Wapumbavu badala ya ku deal na wizi wa sasa wa CAG wako Bize na marehemu tu ,naona group la ngurumo na meena hapo
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, hawa wamekuja na hoja na wameijenga kwa mwenye akili aone. Historia inatufundisha tuone mahali ambapo tulijikwaa ili tujisahihishe tusirudie makosa, unless utuambie kama aliyofanya ni mazuri kwa maslahi ya taifa!Kiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!
Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.
Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?
Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?
Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?
Mkapa na kusini?
JK?
Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?
Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.
Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
Atengeneze maisha kwa uchawa wa kuabudu mtu mpuuzi kama Magufuli?Yaan watu wazima Tena wazee na akili zao wanapoteza muda mwingi kwa kufanya vitu vya kijijnga na kipumbavu.Ngurumo kwa umri ni Mzee ,lakin anafanya ujinga mwingi.Sijui maisha yake atayatengeneza lini.
Tatizo la sukumagang mnasema vitu visivyo na uthibitisho, tuthibitishie pesa zote anapeleka Zanzibar siyo story zao kaburini Chato?Samia huyo hapo fedha za nchi zote anapeleka zanzibar, na hamuongei kwasababu now mashirika yenu ya mashoga now yanawaingizia fedha, Magu alipiga pini lazima mlalame.
Kikwete huyo hapo kapendelea kwao mpaka basi, na waswahili kibao wasio na sifa kawapa vitengo, hamuwezi kuongea kwakuwa mnapata bahasha.
Riporti ya CAG madudu kila kona na hiv mwanamke ndo wanamdharau mpaka basi, Makamba, Nape, Mwigulu wanuka rushwa wamefanya hizo wizara kama za urithi wa ukoo...
Hutomuona Zitto uchambuzi akimgusa kipara kwenye Vyura wala Nishati. Au Nape zaid ya kuandaa ftari TTCL na kuchukua 10% toka makampuni ya simu hakuna anachofanya zaidi ya kuzungusha mtumbo wake mkubwa hapo wizarani.
Mungu anasikia kilio cha watanzania na hajawahi kushindwa, atajibu katika hili... hii sio nchi ya familia, Stupid kabisa in bibi tozo voice.
Anserbt, Meena, E.Kamwaga, Khalifa Said... now watakuja na majarida mengi tu bz now wanakula keki ya taifa wanavyotaka kwa kuwa vibaraka na walamba matako wa system na mabeberu kupitia NGOs uchwara.
Pumbavu Chato ndio vipaumbele vya taifa? Kwa nini apore bila ridhaa na kibali cha bunge?Historian ndo kitu gani? Huko Chato hakuna watu? Hayo maendeleo alopeleka hawastahili? Hebu kuweni na akili sometimes.
System iwashughulikie kutoka kuzimu au kaburini Chato?System ikianza kuwashughulikia mnaanza kulialia!!
Sasa hivi tunasoma I am the state, hicho chenu pelekeni kaburini ChatoHawa jamaa wameliwahi jopo la wasomi ambao wanafahamika nchini ambapo hivi karibuni watatoa kitabu cha maisha na utumishi wa JPM katika nchi ya mafisadi papa hapa Tanzania
Kunatarajiwa kuzinduliwa kitabu kinachoelezea uajabu wa serikali ya Tano chini ya nchi iliyokuwa ikiitwa nchi masikini kumbe ni janja za wapigaji na mafisadi ya ccm
Ndani yake ipo miradi yote iliyobuniwa na kuanzishwa na serikali yake
Ndani yake wapo mafisadi waliowahi kusoteshwa kwenye serikali yake
Wapo pia wapanga mipango wa kuidhofisha serikali yake
Wapo pia ambao walilikuwa wakipanga mipango ya hatari zaidi dhidi yak
😂😂😂Relax relax relax. Kasome kitabu uelewe ujibu hoja zake. acha kupayuka unatupigia kelele
Haifuti ukweli kuwa alipora pesa zao walipa kodi kuendeleza alikozaliwaWakimaliza kuandika chato waje na mikoa mingine waone umeme vijijini, miundo mbinu ya barabara na taa za barabarani, ujenzi wa hospital na vituo vya afya. Wasiiishie Chato.
Hivi unaweza kulinganisha huyo Baba Askofu ushetani wake na shetani Magufuli na mashetani wenzake nyie mnaomuabudu?Nchi ikiwa gizani? Na huyo ni eti anaitwa Baba Askofu daaah Au ni Baba Shetani? Mana ukiwa kwenye iyo nafasi jitenge na ujinga
Katika wapumbavu utakuwa unaongoza, wachaga lini waliongoza taasisi ya Urais?Hawajaandika wachaga walivyojipendelea raslimali za Taifa wakajipelekea kwao Mana wao ndio watangulizi kwa kusoma so walikuwa na ubinfasi wa hali ya juu. Yaani mchaga tu kununu duka ambalo sio la mchaga mwenzake sahau. Sema vyasaka wao wananunua kwao
Upelekwe MirembeWote hawa ni wamoja ya watu watakuja liangalia sanamu kubwa la Magufuli ktk maji makubwa na maeneo ya kumbukumbu Yani Hayati hachafuliki kama ilivyo kuwa kwa Lumumba. Mobutu amekufa kama panzi ila alie uwawa kwa kutiwa on salfuric acid ndio amekuwa maarufu kila mahali. Magu hawezi kudhalilishwa na watu kama hawa Magu ataishi mpaka wabaya wake watatamani wafukiwe. Wakiwa hai na Mungu kuwaonyesha kuwa Magu hakuwa hivyo lazima washuhudie aking'a wangali hai.
Mnaacha kudili na mafisadi yaliyoiba pesa yakaficha account za nje kama mafisadi ya escrow,eppa, Richmond na sasahivi CAG kawataja mmeshindwa kuandika kitabuPumbavu Chato ndio vipaumbele vya taifa? Kwa nini apore bila ridhaa na kibali cha bunge?
Hayo mabandiko yako yanafuta dhana ya I AM THE STATE?Naunga mkono hoja, food for thought
Ngoja nianze na compilation yangu ya JPM
Niki compile natoa kitabu kuthibitisha kuwa
- Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
- Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!
- Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
- Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!
- Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.
- Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
- Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
- Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
- Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
- Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
- Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance
- Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
- Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
- "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!
- Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!
- Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike
- Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
- The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
- Hongera Rais Magufuli kwa kumruhusu Dangote achimbe Makaa ya Mawe, bado Reli na Gesi...
- Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
- Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
- Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.
- Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?
- Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!
- Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P

Tumalize na hili jizi lililopora rasilimali za taifa kwenda kujenga alikozaliwa.Mnaacha kudili na mafisadi yaliyoiba pesa yakaficha account za nje kama mafisadi ya escrow,eppa, Richmond na sasahivi CAG kawataja mmeshindwa kuandika kitabu