Wapokee upuuzi?Jamani waandishi hamtakiwi muwe na mihemuko kiwango hiki.pokeeni tuu mrejesho kama ulivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapokee upuuzi?Jamani waandishi hamtakiwi muwe na mihemuko kiwango hiki.pokeeni tuu mrejesho kama ulivyo
Wewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.Hakubaliki kwa tafiti ipi? Sema hakubaliki kw sukumagang
ceWapokee upuuzi?
Nilikuwa sijajua kwamba wewe ni cencer => censorshipWapokee upuuzi?
Unasoma sio tunasoma huo ujingaSasa hivi tunasoma I am the state, hicho chenu pelekeni kaburini Chato
Mtu yoyote mwenye kumsema vibaya JPM Kwa sababu amelipwa ili kuondoa mawazo ya wananchi dhidi ya uthubutu wake, mtu afanyaye hayo ni MPUMBAVU mkubwa na wala wananchi hawa hawamuelewi isipokua tu hua hawasemi. Uongozi wa JPM ulikua wa uthubutu mkubwa kukomesha wezi wa mali za Umma, na kutenda haki kwa wote, sasa Kwa sababu uongozi mwingine huko awali na tunakoendelea hakufikii viwango vile, basi wanajitahidi kuhakikishia Umma na mataifa kwamba JPM alikua ni kiongozi asiyefaa, ili waonekane kua wao ndo wanafaa, maana wanajua wananchi watajiuliza sana kile walichoona wengine walishindwaje, na wajao kwa nini hawawezi, jamani mnajisumbua na mafungu ya pesa mlizotenga kuvuruga historia ya yule mtu, JPM alieleweka mpaka kwa watoto wadogo, ni vile tu nchi hii pia ina watu waoga, wenye hofu na wasiopenda kufatilia mambo, lakini wangekua ni wananchi wa mataifa kadhaa kama Mali, Sudani, Somali na zifananavyo na hizo, wakati wa kifo cha Mwamba nchi ingetifuka, maana wananchi wanaoamini kifo cha Mwamba ni chenye mashaka makubwa, yamkini ni 99% ya raia wanaamini Mwamba yule alikufa kifo cha kupotezwa na watu, maana Kwa namna alivyo wazuia kukwapua Mali za Umma, walimjengea gadhabu na kujichukulia kwamba waliyo kua wanafanya ni sahihi, miaka itaenda ila Kuna siku watatibuana na watakuja kujisema ni nani alihusikaYaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
![]()
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.
Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.
Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.
Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.
Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.
Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.
Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.
"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.
Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.
Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.
"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Kwa maana mitaani mnaishi nyie tu sukumagang mnaomuabudu fisadi muuaji Magufuli? Inawezekana hiyo mitaa unayozungumzia wewe ni ya ChatoWewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.
Wizi wa Tril 1.5 ni fikra za wazungu?Na ndio pale ulipo ukinzani wa maono hayo Juu. Hayati naye alitaka tuepuke na makosa waliyofanya wengine na kutuachia Wazungu watugalagase na kutukanyaga kanyaga. Alitaka vizazi vinvyokuja kujali mustakabali mzima wa Mwafrika na fikra zake na Rasilimali zake. Tumejifunza au niseme nimejifunza kuwa Inawezekana kabisa kuondokana na fikra potofu kuwa sisi waafrika ni masikini na kuweza kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa Nchi dhidi ya mabeberu.
Hili gazeti lako ungechapisha kitabu tu😅Mtu yoyote mwenye kumsema vibaya JPM Kwa sababu amelipwa ili kuondoa mawazo ya wananchi dhidi ya uthubutu wake, mtu afanyaye hayo ni MPUMBAVU mkubwa na wala wananchi hawa hawamuelewi isipokua tu hua hawasemi. Uongozi wa JPM ulikua wa uthubutu mkubwa kukomesha wezi wa mali za Umma, na kutenda haki kwa wote, sasa Kwa sababu uongozi mwingine huko awali na tunakoendelea hakufikii viwango vile, basi wanajitahidi kuhakikishia Umma na mataifa kwamba JPM alikua ni kiongozi asiyefaa, ili waonekane kua wao ndo wanafaa, maana wanajua wananchi watajiuliza sana kile walichoona wengine walishindwaje, na wajao kwa nini hawawezi, jamani mnajisumbua na mafungu ya pesa mlizotenga kuvuruga historia ya yule mtu, JPM alieleweka mpaka kwa watoto wadogo, ni vile tu nchi hii pia ina watu waoga, wenye hofu na wasiopenda kufatilia mambo, lakini wangekua ni wananchi wa mataifa kadhaa kama Mali, Sudani, Somali na zifananavyo na hizo, wakati wa kifo cha Mwamba nchi ingetifuka, maana wananchi wanaoamini kifo cha Mwamba ni chenye mashaka makubwa, yamkini ni 99% ya raia wanaamini Mwamba yule alikufa kifo cha kupotezwa na watu, maana Kwa namna alivyo wazuia kukwapua Mali za Umma, walimjengea gadhabu na kujichukulia kwamba waliyo kua wanafanya ni sahihi, miaka itaenda ila Kuna siku watatibuana na watakuja kujisema ni nani alihusika
Miradi mingi imejengwa mikoani, Serikali ilihamishiwa Dodoma kama ilivyo takiwa toka zamani za Nyerere, Chato kuna nini cha kutisha? Halafu pia Chato kweni ni Rwanda? Si ni Tanzania?!! Daraja la Busisi si ni la waTanzania? Flyover za Dar mbona hazisemwi?
Hii nchi ina mamtu MAPUMBAVU sana. Ni kama nikutane na jinga moja linalomponda JPM nilipige jiwe la uso lizimie miezi mitatu
Hawa watu woote wa jamii forum wanaishi humu humu hawana mitaa?Wewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.
Nawewe andika cha kumuhusu JK usiumie, wenzio wamekwisha andika hata ukiwananga hapa haitasaidia wewe nawe uandike kuhusu unae mchukia, kama ni JK au MSUYA usiacheHuo ni upambavu wa kiwango cha SGR na kuna mtu kawalipa.Waongee lingine, kwenye suala la miradi hapo wamechemka!
Reli ya SGR inaenda Chato?Mradi wa Umeme Rufiji upo Chato?Bandari kavu ya Kwala ipo Chato?Mradi Ujenzi wa mji Mkuu wa serikali upo Chato?Ujenzi wa vituo vya Afya zaidi ya 300 vipo Chato?Kijazi Flyover ipo Chato?Mfugale Flyover ipo Chato?Barabara ya njia nne Kimara mpaka Kibaha ipo Chato?
Kwa uchache,Waandishi wameongozwa na chuki zaidi ya uhalisia.
JK mwenyewe alipeleka umeme Kijiji cha Hoyoyo, Mkuranga ambapo hakuna mradi wowote bali Umeme alipata Mkwewe Baba yake na Salma na shambani kwa mkewe!
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ambao alizindua mwaka 2014!
Inshort Kibanda na Ngurumo kama wamo humu jukwaani wajue wamejidharirisha akiwemo na Baba Askofu!.Ila Ngurumo nadhani stress za kukimbia nchi zinamsumbua!
Unafikiri wajinga mnaomuabudu huyo mfu mwizi aliyeiba mabilioni kwenda kujenga kijijini kwake mko wengi?Unasoma sio tunasoma huo ujinga
Utajua mwenyewe na uchawa wako kwa jizi, tuko busy kutafuta kitabu cha (I am the state) vipi unacho nikupe contact zangu unitumie soft copy?ce
Nilikuwa sijajua kwamba wewe ni cencer => censorship
Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge ndio kupiga vita wizi wa mali za umma?Mtu yoyote mwenye kumsema vibaya JPM Kwa sababu amelipwa ili kuondoa mawazo ya wananchi dhidi ya uthubutu wake, mtu afanyaye hayo ni MPUMBAVU mkubwa na wala wananchi hawa hawamuelewi isipokua tu hua hawasemi. Uongozi wa JPM ulikua wa uthubutu mkubwa kukomesha wezi wa mali za Umma, na kutenda haki kwa wote, sasa Kwa sababu uongozi mwingine huko awali na tunakoendelea hakufikii viwango vile, basi wanajitahidi kuhakikishia Umma na mataifa kwamba JPM alikua ni kiongozi asiyefaa, ili waonekane kua wao ndo wanafaa, maana wanajua wananchi watajiuliza sana kile walichoona wengine walishindwaje, na wajao kwa nini hawawezi, jamani mnajisumbua na mafungu ya pesa mlizotenga kuvuruga historia ya yule mtu, JPM alieleweka mpaka kwa watoto wadogo, ni vile tu nchi hii pia ina watu waoga, wenye hofu na wasiopenda kufatilia mambo, lakini wangekua ni wananchi wa mataifa kadhaa kama Mali, Sudani, Somali na zifananavyo na hizo, wakati wa kifo cha Mwamba nchi ingetifuka, maana wananchi wanaoamini kifo cha Mwamba ni chenye mashaka makubwa, yamkini ni 99% ya raia wanaamini Mwamba yule alikufa kifo cha kupotezwa na watu, maana Kwa namna alivyo wazuia kukwapua Mali za Umma, walimjengea gadhabu na kujichukulia kwamba waliyo kua wanafanya ni sahihi, miaka itaenda ila Kuna siku watatibuana na watakuja kujisema ni nani alihusika
Miradi mingi imejengwa mikoani, Serikali ilihamishiwa Dodoma kama ilivyo takiwa toka zamani za Nyerere, Chato kuna nini cha kutisha? Halafu pia Chato kweni ni Rwanda? Si ni Tanzania?!! Daraja la Busisi si ni la waTanzania? Flyover za Dar mbona hazisemwi?
Hii nchi ina mamtu MAPUMBAVU sana. Ni kama nikutane na jinga moja linalomponda JPM nilipige jiwe la uso lizimie miezi mitatu
Unalazimisha hizo Trilioni. Ila kukujibu ndio ni Fikra za Wazungu.Wizi wa Tril 1.5 ni fikra za wazungu?
Kwa maana mitaani mnaishi nyie tu sukumagang mnaomuabudu fisadi muuaji Magufuli? Inawezekana hiyo mitaa unayozungumzia wewe ni ya Chato
Unafikiri wajinga mnaomuabudu huyo mfu mwizi aliyeiba mabilioni kwenda kujenga kijijini kwake mko wengi?
Wenzio badotunasheherekea kwa MUUMBA kutuondolea huyu muuaji mwizi wa rasilimaliza taifa akapeleka Chato
Hizo sio hoja, ni matusi.Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge ndio kupiga vita wizi wa mali za umma?
Lini bunge lilijadili na kupitisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato?
Lini ilitolewa tenda na nani walishindanishwa hadi kupatikana mshindi wa tenda hiyo?
Contractor ana uzoefu gani wa kujenga viwanja cya ndege?
Halafu hili hizi ndio unasema Ana uthubutu wa kukomesha wezi wa mali za umma wakati jizi namba moja ni lenyewe! CAG profesa Assad aliposema sh1.5trillion hazijulikani zilipo alichukua hatua gani zaidi ya kumfuta kazi aliyefichua uporaji huyu??
Magufuli ni jizi na watetezi wake ni misukule! Period
Shetani Jiwe anazidi KumulikwaYaan watu wazima Tena wazee na akili zao wanapoteza muda mwingi kwa kufanya vitu vya kijijnga na kipumbavu.Ngurumo kwa umri ni Mzee ,lakin anafanya ujinga mwingi.Sijui maisha yake atayatengeneza lini.
Hawa jamaa nikiwaangalia nawaona kama makimba ya nnya yamepangwa![]()
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.
Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.
Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo kuelekezwa huko kwa matakwa yake.
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.
Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.
Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.
Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.
Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.
"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.
Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.
Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.
"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Hayo yenye kitabu ni mashetani yanayotembeaHawa jamaa nikiwaangalia nawaona kama makimba ya nnya yamepangwa
Mama na baba yako ndio mashetani Tena mekundu.Shetani Jiwe anazidi Kumulikwa
Eti Kiongozi wa Malaika
Konyo kabisa