From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Wapumbavu badala ya ku deal na wizi wa sasa wa CAG wako Bize na marehemu tu ,naona group la ngurumo na meena hapo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini usipangue hoja zao kwa hoja badala ya mihemko? Ripoti zao CAG zimeanza kutolewa leo? Enzi zao jizi Magufuli ni lini alideal na wizi wa ripoti zao CAG?

Mfano tuelezee aliyekuwa CAG profesa Assad aliposema sh1.5 trillion hazijulikani zilipo alichukua hatua gani?

Hiyo miradi mikubwa aliyoifanya Chato ni kwa pesa zao walipa kodi, wapi aliruhusiwa kuchukua na kutumia pesa zao walipa kodi kuendeleza alikozaliwa?

Tuwe wazalendo, au uzalendo ni kumsifia na kumtetea Magufuli? Yaani CCM ilaaniwe imetengeneza kizazi cha wapuuzi machawa waabudu watu
 
Si kweli, hawa wamekuja na hoja na wameijenga kwa mwenye akili aone. Historia inatufundisha tuone mahali ambapo tulijikwaa ili tujisahihishe tusirudie makosa, unless utuambie kama aliyofanya ni mazuri kwa maslahi ya taifa!

Kwa mapenzi yenu mnakuwa kama mbuni mnazamisha vichwa vyenu ili msione mkitegemea wote wenye akili nao watafumbia macho. Ni haki kwa rasilimali za taifa kutumiwa na kiongozi kuendeleza alikozaliwa bila utaratibu wa bunge? Unajenga precedence gani? Wenye mapenzi na taifa acha waseme, nyie wenye mapenzi na mtu mtulie.

Nionyeshe uafadhali wake kwa Kikwete na Samia as far as huu upuuzi wa kutumia rasilimali za taifa kwa kuendeleza alikozaliwa? Tunakujua Butiama kwa Nyerere, nyumba tu kaja kujengewa na jeshi baada ya kung'atuka. Unataka kulinganisha uadilifu wa Nyerere na Magufuli? Uko serious kweli?

Kuna nini kimejengwa Chalinze? Kuna nini kusini? Wakati Mkapa kajenga Lushoto Tanga. Nini Samia kafanya Zanzibar so far kumlinganisha na Magufuli? Huh ni unafiki wa kiwango cha lami.

Rasilimali iliyotumika kutufahamisha uovu uliofanyika na rasilimali zilizotumika kuendeleza Chato upi ni uharibifu wa rasilimali? Dunia ya wenye akili timamu huzungumzia mapungufu ili yasitokee tena, bila hivyo dunia isingewajua akina Adolf Hitler, Stalin, Mobutu, Idi Amin maana wengi walikuwa hawajazaliwa. Ni unafiki uliopitiliza kuzuia watu wasijue uovu huu.

Hawa ni waandishi wazalendo bali nyie mamluki mnaomuabudu mtu kiasi hamtaki uovu wake uanikwe, hiyo mnataka kwa maslahi ya nani?
 
Yaan watu wazima Tena wazee na akili zao wanapoteza muda mwingi kwa kufanya vitu vya kijijnga na kipumbavu.Ngurumo kwa umri ni Mzee ,lakin anafanya ujinga mwingi.Sijui maisha yake atayatengeneza lini.
Atengeneze maisha kwa uchawa wa kuabudu mtu mpuuzi kama Magufuli?

Wenye akili wanajua nani mpumbavu kati yako na hawa waliobainisha uovu na ufisadi wa kutisha wa rasilimali za nchi kujenga alikozaliwa
 
Tatizo la sukumagang mnasema vitu visivyo na uthibitisho, tuthibitishie pesa zote anapeleka Zanzibar siyo story zao kaburini Chato?

Ripoti ya CAG ipi ambayo Magufuli aliwahi kuishughulikia? Au kumfukuza kazi CAG profesa Assad aliposema shida 1.5trillion hazionekani?
 
Sasa hivi tunasoma I am the state, hicho chenu pelekeni kaburini Chato
 
Wakimaliza kuandika chato waje na mikoa mingine waone umeme vijijini, miundo mbinu ya barabara na taa za barabarani, ujenzi wa hospital na vituo vya afya. Wasiiishie Chato.
Haifuti ukweli kuwa alipora pesa zao walipa kodi kuendeleza alikozaliwa
 
Nchi ikiwa gizani? Na huyo ni eti anaitwa Baba Askofu daaah Au ni Baba Shetani? Mana ukiwa kwenye iyo nafasi jitenge na ujinga
Hivi unaweza kulinganisha huyo Baba Askofu ushetani wake na shetani Magufuli na mashetani wenzake nyie mnaomuabudu?
Mjinga ni wewe unayetetea ujinga
 
Wanafiki wamekusanyika kuandika kijitabu uchwara Mimi mkristo Tena kkkt ila bagonza ana shida Sana pamoja na wenzie
 
Hawajaandika wachaga walivyojipendelea raslimali za Taifa wakajipelekea kwao Mana wao ndio watangulizi kwa kusoma so walikuwa na ubinfasi wa hali ya juu. Yaani mchaga tu kununu duka ambalo sio la mchaga mwenzake sahau. Sema vyasaka wao wananunua kwao
Katika wapumbavu utakuwa unaongoza, wachaga lini waliongoza taasisi ya Urais?
Majuha hawawezi ficha ujuha wao
 
Upelekwe Mirembe
 
Pumbavu Chato ndio vipaumbele vya taifa? Kwa nini apore bila ridhaa na kibali cha bunge?
Mnaacha kudili na mafisadi yaliyoiba pesa yakaficha account za nje kama mafisadi ya escrow,eppa, Richmond na sasahivi CAG kawataja mmeshindwa kuandika kitabu
 
Hayo mabandiko yako yanafuta dhana ya I AM THE STATE?
Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge, kwa maana ya kupora rasilimali za taifa, huu ni ufisadi, wizi, matumizi mabaya ya madaraka.

Au uko kwenye kujikita kuelezea mazuri yake na kufumbia macho mabaya yake?
 
Hayo mabandiko yako yanafuta dhana ya I AM THE STATE?
Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge, kwa maana ya kupora rasilimali za taifa, huu ni ufisadi, wizi, matumizi mabaya ya madaraka.

Au uko kwenye kujikita kuelezea mazuri yake na kufumbia macho mabaya yake?
 
Mnaacha kudili na mafisadi yaliyoiba pesa yakaficha account za nje kama mafisadi ya escrow,eppa, Richmond na sasahivi CAG kawataja mmeshindwa kuandika kitabu
Tumalize na hili jizi lililopora rasilimali za taifa kwenda kujenga alikozaliwa.
Halafu wakati wake aliwahi kushughulikia ripoti za CAG? Au kwa kumfurusha CAG profesa Assad aliposema kwa kuonyesha limeiba sh1.5trillion kwenda kujenga Chato?

Waliopora mapesa ya plea bargaining na kundi lake wakaenda kufungua akaunti China ndio unaowazungumzia au?
 
Hayo waliyoweka kwenye vitabu ni sawa na kuyaficha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…