From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)


Hawa ndio watu wanao sifia uchumi wa leo. Vitu wanavyo post wao wenyewe vina kinzana na data wanazo promote uchumi upo vizuri.

Hiyo rating Zitto aliyoweka hapo ya B2 maana yake huko kwenye tathmini yao ya takwimu Moody’s tuliowapa hela ya kutukagua wamekuta mashudu tu kwenye data; sio za kuaminika kabisa hiyo ndio message yao kwa soko la mitaji.

Ndio uwezo wa Mwigulu kwa sababu world bank wamekileta kibibi kivivu kufanya kazi kwenye ku verify data mnazokipa; unadhani na rating agency wanapokea habari za kichwa.

Hiyo tathmini ya Moody’s ni habari mbaya kwa Tanzania kwenye soko la mitaji; hakuna atakaetoa hela yake bila ya kupitia IMF/WB ndio mwisho wa ndoto za kuuza bonds za serikali kwenye masoko ya kimataifa.

Halafu unataka kujifananisha na Magufuli kuweza pata mikopo ya private, wajaribu waone kama rahisi kupata.
 
Hakubaliki kwa tafiti ipi? Sema hakubaliki kw sukumagang
Wewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.
 
Mtu yoyote mwenye kumsema vibaya JPM Kwa sababu amelipwa ili kuondoa mawazo ya wananchi dhidi ya uthubutu wake, mtu afanyaye hayo ni MPUMBAVU mkubwa na wala wananchi hawa hawamuelewi isipokua tu hua hawasemi. Uongozi wa JPM ulikua wa uthubutu mkubwa kukomesha wezi wa mali za Umma, na kutenda haki kwa wote, sasa Kwa sababu uongozi mwingine huko awali na tunakoendelea hakufikii viwango vile, basi wanajitahidi kuhakikishia Umma na mataifa kwamba JPM alikua ni kiongozi asiyefaa, ili waonekane kua wao ndo wanafaa, maana wanajua wananchi watajiuliza sana kile walichoona wengine walishindwaje, na wajao kwa nini hawawezi, jamani mnajisumbua na mafungu ya pesa mlizotenga kuvuruga historia ya yule mtu, JPM alieleweka mpaka kwa watoto wadogo, ni vile tu nchi hii pia ina watu waoga, wenye hofu na wasiopenda kufatilia mambo, lakini wangekua ni wananchi wa mataifa kadhaa kama Mali, Sudani, Somali na zifananavyo na hizo, wakati wa kifo cha Mwamba nchi ingetifuka, maana wananchi wanaoamini kifo cha Mwamba ni chenye mashaka makubwa, yamkini ni 99% ya raia wanaamini Mwamba yule alikufa kifo cha kupotezwa na watu, maana Kwa namna alivyo wazuia kukwapua Mali za Umma, walimjengea gadhabu na kujichukulia kwamba waliyo kua wanafanya ni sahihi, miaka itaenda ila Kuna siku watatibuana na watakuja kujisema ni nani alihusika

Miradi mingi imejengwa mikoani, Serikali ilihamishiwa Dodoma kama ilivyo takiwa toka zamani za Nyerere, Chato kuna nini cha kutisha? Halafu pia Chato kweni ni Rwanda? Si ni Tanzania?!! Daraja la Busisi si ni la waTanzania? Flyover za Dar mbona hazisemwi?

Hii nchi ina mamtu MAPUMBAVU sana. Ni kama nikutane na jinga moja linalomponda JPM nilipige jiwe la uso lizimie miezi mitatu
 
Wewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.
Kwa maana mitaani mnaishi nyie tu sukumagang mnaomuabudu fisadi muuaji Magufuli? Inawezekana hiyo mitaa unayozungumzia wewe ni ya Chato
 
Wizi wa Tril 1.5 ni fikra za wazungu?
 
Hili gazeti lako ungechapisha kitabu tu😅
 
Wewe unadhani huku mitaani watu wanazungumzia huo upumbavu wa sijui sukuma gang na msoga gang? Huo upumbavu humu mitandaoni kusiko na maisha halisi.
Hawa watu woote wa jamii forum wanaishi humu humu hawana mitaa?
 
Nawewe andika cha kumuhusu JK usiumie, wenzio wamekwisha andika hata ukiwananga hapa haitasaidia wewe nawe uandike kuhusu unae mchukia, kama ni JK au MSUYA usiache
 
Unasoma sio tunasoma huo ujinga
Unafikiri wajinga mnaomuabudu huyo mfu mwizi aliyeiba mabilioni kwenda kujenga kijijini kwake mko wengi?

Wenzio badotunasheherekea kwa MUUMBA kutuondolea huyu muuaji mwizi wa rasilimaliza taifa akapeleka Chato
 
ce
Nilikuwa sijajua kwamba wewe ni cencer => censorship
Utajua mwenyewe na uchawa wako kwa jizi, tuko busy kutafuta kitabu cha (I am the state) vipi unacho nikupe contact zangu unitumie soft copy?
 
Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge ndio kupiga vita wizi wa mali za umma?

Lini bunge lilijadili na kupitisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato?

Lini ilitolewa tenda na nani walishindanishwa hadi kupatikana mshindi wa tenda hiyo?

Contractor ana uzoefu gani wa kujenga viwanja cya ndege?

Halafu hili hizi ndio unasema Ana uthubutu wa kukomesha wezi wa mali za umma wakati jizi namba moja ni lenyewe! CAG profesa Assad aliposema sh1.5trillion hazijulikani zilipo alichukua hatua gani zaidi ya kumfuta kazi aliyefichua uporaji huyu??

Magufuli ni jizi na watetezi wake ni misukule! Period
 
Kwa maana mitaani mnaishi nyie tu sukumagang mnaomuabudu fisadi muuaji Magufuli? Inawezekana hiyo mitaa unayozungumzia wewe ni ya Chato

Unafikiri wajinga mnaomuabudu huyo mfu mwizi aliyeiba mabilioni kwenda kujenga kijijini kwake mko wengi?

Wenzio badotunasheherekea kwa MUUMBA kutuondolea huyu muuaji mwizi wa rasilimaliza taifa akapeleka Chato

Hizo sio hoja, ni matusi.


Mtalegea tu
 
Yaan watu wazima Tena wazee na akili zao wanapoteza muda mwingi kwa kufanya vitu vya kijijnga na kipumbavu.Ngurumo kwa umri ni Mzee ,lakin anafanya ujinga mwingi.Sijui maisha yake atayatengeneza lini.
Shetani Jiwe anazidi Kumulikwa
Eti Kiongozi wa Malaika
Konyo kabisa
 
Hawa jamaa nikiwaangalia nawaona kama makimba ya nnya yamepangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…