From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Kuchukua eneo kijijini kwake ukajenga ni rahisi kulikuko kuchukua eneo nje ya nchi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu usilalamike sana kuhusu Magu,najua alikutumbua na vyeti vyako fake,Mama kasema wote wenye vyeti fake anawarudisha tena kazini na ma fake yenu ili muendeleze tena usanii wenu wa upigaji!!
Mama Naye si alifeli hapa na pale kw hiyo aibu hana
 
Nawaagiza walete mtanzania yeyote kwenye uchaguzi na picha ya Magu ili wapate majibu hawa wachumia vibajaji
 
Hilo li askofu nalo linawaumini kabisa kuna watu wanasali kwake kiongozi wa dini mwenye chuki?
Vipi kuhusu gwajima mfufua wafu mbona hajaenda chato kumfufua mungu wenu. Hahaha sijamuona hata kwenye kuaga pale uwanja wa taifa
 
Waangalie tu Ngurumo, Meena na Kibanda wametokea wapi katika safari yao ya uandishi wa habari halafu jikumbushe Manyerere alivyoomba Uteuzi kwa Shujaa Magufuli na kupuuzwa utaelewa fika hawa waandishi wanaumizwa na nini

Na hata mfadhili wao hutapata Shida kumjua

Na nje ya Maridhiano utaujua tu Upande waliopo

Jumatatu Mbarikiwe sana!
 
Natoa wito watu tujifunze kujadili hoja na sio kujadili watu!. Jadili hoja za waandishi hao kwenye maandiko yao na sio kuwajidili wao binafsi zao.
P
 
Usijali walioandika kitabu hiyo ni SIMPLE Mindset bali jielekeze kwenye HOJA ndiyo utakuwa Great thinker.

Simple minds discuss people, ordinary minds discuss events while greater minds discuss ideas.

Nawatahadharisha tusiingie mtego wa ku discuss watu. Tutakuwa SIMPLE MINDS kama mtoa mada
 
Kile kitabu Hadi sasa zimeuzika nakala ngapi tangu kuzinduliwa?
 
Natoa wito watu tujifunze kujadili hoja na sio kujadili watu!. Jadili hoja za waandishi hao kwenye maandiko yao na sio kuwajidili wao binafsi zao.
P
Ata wao Waandishi wamejikita kujadili mtu,title yenyewe ya kitabu,"I am the state" hii siyo personal attack?hawakuwa Euphemic kabisa.
Wamejikita kujadili miradi ya Chato kwani Magufuli alianzisha miradi Chato tu!!
Ni aibu kwa kweli kwa Waandishi wa Calibre ya kina Meena na Kibanda kuandika ule uchafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…