From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Kitabu hewa
 
..hakuna haja ya kufurumusha matusi.

..watetezi wa Magufuli nao waandike kitabu.

..waandishi wote waliokuwa wakimsifu na kumpamba Magufuli wakati akiwa hai wako wapi?

..Musiba, Kabudi, Makonda, etc wanasubiri nini kunyanyua kalamu zao kuandika kuhusu Magufuli?
 
Hv Mloganzila na Ikulu ya msoga v
zinapatikana wilaya gn na zilijengwa wkt wa utawala wa Rais yupi?
 
He he he he he he he

Yaani ndani ya mda mfupi "LAHISI" wa wanyonge anaandikwa Kama IDD AMIN DADA

sa itakuwaje kwa watunza "LEGASI"

UONGOZI WA "MAGUFULI" unanikumbusha ushambuliaji wa bull striker toka maeneo ya msimbaz yule mziba jicho alitumia ubabe Sana kufunga
 

Nchi ikiwa gizani? Na huyo ni eti anaitwa Baba Askofu daaah Au ni Baba Shetani? Mana ukiwa kwenye iyo nafasi jitenge na ujinga
 
Mie nilivyoona tu KWAYU. ,Basi nikajua kuwa Ni wa kuwalinda tu. So why wamuandikie yeye mbona hawajaandika namna watu walivyowapa wachina gesi kisa mnajua watanzania. Watu wanashauriwa wanunue Taifa gesi,
Hawa kweli Ni wandishi uchwara ama wanaua report ya cag mbona hayo madudu hayamo
 
Jaribu kuwa na stara kwa mawazo ya wenzio, kibaya kwako kwa mwingine kizuri. Heshimu watu, matusi yako yanadhihirsha ubovu wa akili uliyonayo.
Hata wewe akili yako mbovu,soma kwanza post #11 ndiyo utaelewa kwa nini nimemjibu huyo kilaza mwenzako hivyo. Nyie mnataka kutukana watu mkijibiwa sawa sawa na ujinga wenu mnapiga mayowe. Ningewaona wa maana kama na nyie mngeandika kitabu kuhusu mazuri ya huyo mtu wenu badala ya kuwatukana walioandika kitabu cha maovu ya Magufuli.
 
Wote ni waovu sababu wanatoka chama cha waovu, ila uovu wa Magufuli ilipitiliza na Samia anafuatia kwa karibu katika ubinafsi wa kupendelea kwao
 
Historian ndo kitu gani? Huko Chato hakuna watu? Hayo maendeleo alopeleka hawastahili? Hebu kuweni na akili sometimes.
Hawajaandika wachaga walivyojipendelea raslimali za Taifa wakajipelekea kwao Mana wao ndio watangulizi kwa kusoma so walikuwa na ubinfasi wa hali ya juu. Yaani mchaga tu kununu duka ambalo sio la mchaga mwenzake sahau. Sema vyasaka wao wananunua kwao
 
Wezi, wahuni, mafisadi na majambazi wa kila aina kwa vyovyote vile hawezi kukaa kimya pasipo kushambulia nyumba ya milele ya Hayati John Pombe Joseph Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa JMT.

Mabepari, matajiri, wezi na mashoga wanakifurahia kifo Cha Rais JPM wakisahau kuwa wananchi huku mtaani Hali ya maisha ni ngumu ngumu na ngumu kwelikweli!. Enzi za JPM kilo moja ya mchele ilikuwa tsh. 1200/= leo katika utawala wa akina Mwigulu, Nape na Kigogo (January Makamba) kilo moja hyo inanunuliwa kwa tsh. 3,500/.

Ninyi walamba asali fahamuni kuwa kila Jambo Lina Mwisho wake.

Rais Magufuli alikuwa na madhaifu yake ikiwemo kuwawekea Kinga akina wajinga Yulia Ackson kuwa wasishitakiwe wanapokiuka Sheria za nchi lakini awamu ya Rais Samia wizi umetamalaki kila Kona tokana na kauli ya Rais mwenyewe kuea kila mtu ajipimie kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Dah!..waandishi wengine wasiokuwa 'critics' kwa utawala ule nao waandike pia kitabu ili tuweze kubalance pande zote.

JokaKuu zitto junior Pascal Mayalla Kiranga Mag3
 
Lazima utengeneze kwanza unakoweka kichwa chako baada ya miangaiko yote ya siku.
Ww unaweza kwenda kumnunulia jirani kitanda wakati we mwenyewe unalala kweny mkeka?!
 
Wote hawa ni wamoja ya watu watakuja liangalia sanamu kubwa la Magufuli ktk maji makubwa na maeneo ya kumbukumbu Yani Hayati hachafuliki kama ilivyo kuwa kwa Lumumba. Mobutu amekufa kama panzi ila alie uwawa kwa kutiwa on salfuric acid ndio amekuwa maarufu kila mahali. Magu hawezi kudhalilishwa na watu kama hawa Magu ataishi mpaka wabaya wake watatamani wafukiwe. Wakiwa hai na Mungu kuwaonyesha kuwa Magu hakuwa hivyo lazima washuhudie aking'a wangali hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…