From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Dah!..waandishi wengine wasiokuwa 'critics' kwa utawala ule nao waandike pia kitabu ili tuweze kubalance pande zote.

JokaKuu zitto junior Pascal Mayalla Kiranga Mag3
Naunga mkono hoja, food for thought
Ngoja nianze na compilation yangu ya JPM
  1. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
  2. Elections 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli, Kubali Matokeo, Vunja Kambi, Jisalimishe!
  3. Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
  4. Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!
  5. Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.
  6. Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
  7. Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
  8. Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
  9. Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
  10. Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
  11. Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance
  12. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
  13. Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
  14. "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!
  15. Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!
  16. Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike
  17. Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
  18. The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
  19. Hongera Rais Magufuli kwa kumruhusu Dangote achimbe Makaa ya Mawe, bado Reli na Gesi...
  20. Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.
  21. Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
  22. Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.
  23. Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?
  24. Pongezi Rais Magufuli. Ameonesha uzalendo wa hali ya juu uliotukuka!, amebadilika, amejishusha, uchumi wa Tz kupaa!
  25. Trend Reading: Rais Magufuli amebadilika, he is changing for the better, ameonyesha uwezo, anaweza!. Mei Mosi ya leo atapandisha mishahara!.
Niki compile natoa kitabu kuthibitisha kuwa
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
View attachment 2587865

Waandishi nguli wa habari nchini Tanzania wamezindua kitabu 'I am the State' (Mimi ni Dola) chenye kuonyesha maendeleo ya miradi ya uwekezaji yaliyofanyika wilayani Chato mkoani Geita na ukiukwaji wa sheria uliofanyika ndani ya utawala wa hayati Rais Dk John Magufuli wakati wa utekelezaji wa miradi hiyo.

Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.

Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.

"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Wabongo na usomaji wa vitabu.
 


R.I.P Comrade
eb5ae8d3-fdc5-4954-a51f-6268c5b129e5-jpeg.1971057
 
Dokumentari kali miradi ya Chato:

ambayo haijawahi kutengenezwa na media House yoyote ya Tanzania, iliyoandaliwa na waandishi wa habari za kiuchunguzi ikiangaza kurunzi yake katika miradi ya Chato kwa undani kabisa



Source : SK Media online TV
 
Wapumbavu badala ya ku deal na wizi wa sasa wa CAG wako Bize na marehemu tu ,naona group la ngurumo na meena hapo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani ngoja liwekwe vitabuni, lisomwe milele. Inaelekea ulikuwa "shoga" wa Shetani Magufuli. huoni uchafu, ushetani, uuaji etc etc alioufanya Magufuli.
 
Kiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!

Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.

Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?

Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?

Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?

Mkapa na kusini?

JK?

Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?

Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.

Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
Umemtetea sana hata sisi tuliokuwa tumekwisha kubaliana nawe juu ya ubaya wake umetulazimisha tune kwamba wewe ulikuwa ukifurahia sana maovu aliyohusika nayo.

Acha watu waseme; kwani walifungwa midomo wakati yeye akiwa madarakani.
 
Kiukweli nilitokea kumchukia sana hayati Magufuli hasa kwa mambo 'binafsi' hata kabla hajawa rais!

Ila pamoja na yote Magufuli alikua ana afadhali ukimlinganisha na Kikwete au Samia tuongee tu kwa kumtendea haki.

Ni nani hakupapendelea kwao nchi hii?

Nyerere na Mara? Nyerere na akina Butiku?

Mwinyi na Zanzibar/Mkuranga?

Mkapa na kusini?

JK?

Pili kuna haja gani ya kutumia rasilimali kubwa hivyo kuchapisha kitabu chenye maudhui yasiyo na msaada? Lengo ni kujifunza? Kama ni kujifunza si tunayo historia ya Gbadolite huko Zaire sasa DRC? Nani ana fadhili hayo na kwa maslahi gani?

Magufuli ni lost case kwa sasa haya hayatusaidii.

Mwisho tuwe makini sana na waandishi uchwara maana huu ni ulaji unatafutwa kwa mtu na ni njia ya kututoa kwenye reli.
Kipindi cha mzee tulifundishwa kuwa makini na matumizi ya pesa, maana ukichezea pesa leo huna uhakika kama kesho utaipata 😂😂
 
Nafurahi walivyo tokea wa kuandika negative za Magufuli.

Ningeshangaa sana kama kusingekuwa na negative zake katika maandiko kama hayo.

Kwa maana tokea ulimwengu ulivyo anza na mwanadamu kiwa ndani yake hakujawahi kutokea mwanadamu asie na mapungufu katika kila akifanyacho.
Mapungufu ya mwanadamu yapo kiasili , ili kumpa mwanadamu nafasi ya kujifunza tena kutokana na makosa yake.
Makosa yapo ili yawe darasa , yoyote asie jifunza kutokana na makosa hajawa mkamilifu bado.

Sisi wengine tuna endelea kuishi na kuthamini na kuenzi na kuwaelezea watoto wetu kwamba aliwahi kuwapo rais Magufuli hapa Tanzania, mazuri yake aliofanya na ib ni haya na yale.
 
Nafurahi walivyo tokea wa kuandika negative za Magufuli.

Ningeshangaa sana kama kusingekuwa na negative zake katika maandiko kama hayo.

Kwa maana tokea ulimwengu ulivyo anza na mwanadamu kiwa ndani yake hakujawahi kutokea mwanadamu asie na mapungufu katika kila akifanyacho.
Mapungufu ya mwanadamu yapo kiasili , ili kumpa mwanadamu nafasi ya kujifunza tena kutokana na makosa yake.
Makosa yapo ili yawe darasa , yoyote asie jifunza kutokana na makosa hajawa mkamilifu bado.

Sisi wengine tuna endelea kuishi na kuthamini na kuenzi na kuwaelezea watoto wetu kwamba aliwahi kuwapo rais Magufuli hapa Tanzania, mazuri yake aliofanya na ib ni haya na yale.
Huyo mwenye miwani ni nani? Kwa nini anavaa miwani? Alianza kuvaa miwani lini na kwa nini?

Waliobaki wengine wote ni kabila moja, kabila gani? Is it a coincidence? Kwao kuna Airport ngapi University ngapi hospitali za rufaa ngapi CRDB ngapi pundamilia ngapi kaeneo kadogo tu? Kwa nini Chato na Lindi na Tandahimba na Katavi na Ikungi na Donge pasiwe na lami wala hospitali ya rufaa wala airport?

Kabaki mzinduzi wa kitabu je, anazindua tu au na yeye walau kaandika Preface? Kuna fununu kuwa Mgombea fulani wa 2020 alilala kwake kishoga wakati wa kampeni, je kuna ukweli wowote? Je ni shoga wa chini au wa juu?

Kikawaida vitabu kama hivi ni vyema pakawa na blurb inaeleza brief CV ya waandishi. Kama kuna anayejua atupe muonjo?
 
Back
Top Bottom