Mimi nawaulizeni nyinyi mnaosema mnauweka uchafu wake wazi huku mkijua keshaoza na hana impact, mkiambiwa achaneni nae basi keshafariki mnasema hata Hitler anasemwa. Kwahiyo kama mnajua hana impact keshaoza basi ndio muda wa kumpotezea haina haja ya kumpa nafasi kwenye majukwaa mitandaoni hadi na vitabu kabisa.Kufanikiwa kupi tena wakati keshaoza. Hivi hata asipochafuka ana impact Gani yaani upinzani au CCM ya Samia Wana hasara Gani?
2025 ni Lissu vs Samia ambao wote ni anti JPM so no matter achafuke or abaki msafi Hana impact.
Walikuwa wapigana vita gani ili ndio tumjue mshindi na mshindwa? Kama walikuwa wanapigana vita ya kuuwana basi hapo kweli JPM kashindwa.Yaani walikua vitani Sasa jamaa katangulia mbele ya haki alafu mtu anakomaa eti JPM hajashindwa Sasa kama sio uchizi ni Nini?
Umeweka rekodi sawa wapi sasa mkuu maana hadi sasa huko mtaani bado watu wanamshabikia Magufuli sasa ingekuwa mmeweka rekodi sawa si tungeona athari zake. Labda uniambia bado mnapambana kuweka hiyo rekodi ila bado hamjafanikiwa.
Izi ela wanazopewa na mafisadi watazikumbuka badae. Wanaangaika na Marehemu. Wakiugua wanakosa ela za matitabu Hawa ndio waandishi wetu. Badala kupigania ustawi wao , wanabaki kutumika. Muda utaongeaYaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni
Ijumaa, Aprili 14, 2023
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.
Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.
Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.
Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.
Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.
Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.
Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.
"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.
Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.
Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.
"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Sawaa Sawa
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.
Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.
Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo kuelekezwa huko kwa matakwa yake.
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.
Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.
Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.
Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.
Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.
"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.
Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.
Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.
"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
Ila mateso aliyosababisha kwa baadhi ya watu bado yanaendeleaMwacheni baba wa watu si alishakufa tayari why bother.
Mambo ya uchaguzi ndio maana hata vyama vya upinzani vinashirikiana ili kupata kura nyingi ukichilia mbali na kuchukua watu kutoka ccm, mimi nazungumzia kilichopo mtaani Samia hakubaliki kama anavyokubaliki Jiwe, sasa hizo rekodi mlizoweka sawa ni rekodi mkuu?Watu wapi, wale aliogoma kuheshimu uchaguzi ili ifahamike ukweli wa hao wanaomkubali?
Umekisoma na kukielewa kipande hiki?Mwacheni baba wa watu si alishakufa tayari why bother.
Mambo ya uchaguzi ndio maana hata vyama vya upinzani vinashirikiana ili kupata kura nyingi ukichilia mbali na kuchukua watu kutoka ccm, mimi nazungumzia kilichopo mtaani Samia hakubaliki kama anavyokubaliki Jiwe, sasa hizo rekodi mlizoweka sawa ni rekodi mkuu?
Hatuna tatizo la kukosa wanaomsifia JPM. Hao tayari wako wengi.Habari kumhusu JPM zikiachiwa 'critics' wake kuziandika ni rahisi kumzushia uongo, ni vyema na 'Pro-JPM' nao waandika kitabu kujibu hoja za 'critics' wake.