From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

Moja kisa kilichoandikwa kwenye kitabu Cha I am....... Cha Waandishi wetu pendwa wanao ongozwa na wale walio kimbiaga nchi ni hiki.

Naomba kunukuu!

Rais Magufuli alimwalika Rais Mkapa nyumbani kwake,Rais mkapa alivyofika chato alishangazwa na maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa,hasa alishangazwa na mahekalu aliyoyajenga Rais Magufuli hapo kwake chato na ghaflA alimgeukia mlinzi wake na kumweleza hivi"sikujua kama ikulu Kuna utajili"

Hii ni kauli ya kichonganishi,kichafuzi na haifai kuvumiliwa,kwanza waandshi hao hhawakusema ALIYEKWAMBIA hiyo kauli ni mlinzi wa hayati mkapa au?

Au na wao siku hiyo walikuwepo eneo la tukio?

Pili nani hasiye jua yakuwa zile nyumba za mzes pale chato zilijengwa wakati wa uwaziri wake?

Kwa nn serikali ya awamu ya sita inakalia kimnya mambo ya namna hii yasambazwe kumchafu mzirankende?
Achana nao wapuuzi wale kama Magufuli aliyekuwa amekaa karibu na mkapa hakusikia itakuwa hao wapuuzi

USSR
 
Moja kisa kilichoandikwa kwenye kitabu Cha I am....... Cha Waandishi wetu pendwa wanao ongozwa na wale walio kimbiaga nchi ni hiki.

Naomba kunukuu!

Rais Magufuli alimwalika Rais Mkapa nyumbani kwake,Rais mkapa alivyofika chato alishangazwa na maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa,hasa alishangazwa na mahekalu aliyoyajenga Rais Magufuli hapo kwake chato na ghaflA alimgeukia mlinzi wake na kumweleza hivi"sikujua kama ikulu Kuna utajili"

Hii ni kauli ya kichonganishi,kichafuzi na haifai kuvumiliwa,kwanza waandshi hao hhawakusema ALIYEKWAMBIA hiyo kauli ni mlinzi wa hayati mkapa au?

Au na wao siku hiyo walikuwepo eneo la tukio?

Pili nani hasiye jua yakuwa zile nyumba za mzes pale chato zilijengwa wakati wa uwaziri wake?

Kwa nn serikali ya awamu ya sita inakalia kimnya mambo ya namna hii yasambazwe kumchafu mzirankende?
Upumbavu mtupu!
 
Kuchukua rasilimali za taifa bila ridhaa na kibali cha bunge ndio kupiga vita wizi wa mali za umma?

Lini bunge lilijadili na kupitisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato?

Lini ilitolewa tenda na nani walishindanishwa hadi kupatikana mshindi wa tenda hiyo?

Contractor ana uzoefu gani wa kujenga viwanja cya ndege?

Halafu hili hizi ndio unasema Ana uthubutu wa kukomesha wezi wa mali za umma wakati jizi namba moja ni lenyewe! CAG profesa Assad aliposema sh1.5trillion hazijulikani zilipo alichukua hatua gani zaidi ya kumfuta kazi aliyefichua uporaji huyu??

Magufuli ni jizi na watetezi wake ni misukule! Period
Unaonyeasha wazi jinsi ulivyo mpumbavu, maana ukweli unaujua na unajaribu kujifariji kipuuzi puuzi tu
 
Unaonyeasha wazi jinsi ulivyo mpumbavu, maana ukweli unaujua na unajaribu kujifariji kipuuzi puuzi tu
Ungekuwa siyo mpumbavu ungejibu hoja zangu, Magufuli ni muuaji jambazi. Na watetezi wa huyu mpumbavu ni wapumbavu wenzake, na kutetea upumbavu lazima uwe mpumbavu kuuzidi, na ndivyo ulivyo
 
Lete ushahidi wa nani alimuua tuone kwa macho nyang'au wewe mwizi wa Mali za Umma pumbavu mkubwa, alimuua nani? Ulikuwepo? Ulirecod? Shenzi type
Unazidi kudhihirisha upumbavu wako, unamjua mwizi wa maĺi za umma?
Jizi jambazi lililopora rasilimaliza taifabila ridhaa na kibali cha bungekujenga uwanja wa ndege wa Chato. Upo hapo?

Muuaji alimuua Simon Kangoye, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo. Ushahidi kamuulize jambazi mwenzake Sirro, pia usisahau Akwilina.

Sikuweza kurecord sababu nawaogopa wasiojulikana ambao nadhani wewe ni mmoja wao si kwa povu hilo.

Mwisho wewe ni PUMBAVU
 
IMG-20230606-WA0052.jpg
 
Moja kisa kilichoandikwa kwenye kitabu Cha I am....... Cha Waandishi wetu pendwa wanao ongozwa na wale walio kimbiaga nchi ni hiki.

Naomba kunukuu!

Rais Magufuli alimwalika Rais Mkapa nyumbani kwake,Rais mkapa alivyofika chato alishangazwa na maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa,hasa alishangazwa na mahekalu aliyoyajenga Rais Magufuli hapo kwake chato na ghaflA alimgeukia mlinzi wake na kumweleza hivi"sikujua kama ikulu Kuna utajili"

Hii ni kauli ya kichonganishi,kichafuzi na haifai kuvumiliwa,kwanza waandshi hao hhawakusema ALIYEKWAMBIA hiyo kauli ni mlinzi wa hayati mkapa au?

Au na wao siku hiyo walikuwepo eneo la tukio?

Pili nani hasiye jua yakuwa zile nyumba za mzes pale chato zilijengwa wakati wa uwaziri wake?

Kwa nn serikali ya awamu ya sita inakalia kimnya mambo ya namna hii yasambazwe kumchafu mzirankende?
hiki kitabu napata wapi softcopy yake
 
Waangalie tu Ngurumo, Meena na Kibanda wametokea wapi katika safari yao ya uandishi wa habari halafu jikumbushe Manyerere alivyoomba Uteuzi kwa Shujaa Magufuli na kupuuzwa utaelewa fika hawa waandishi wanaumizwa na nini

Na hata mfadhili wao hutapata Shida kumjua

Na nje ya Maridhiano utaujua tu Upande waliopo

Jumatatu Mbarikiwe sana!
Ndugu tangu, lini na wapi niliomba uteuzi kwa Magufuli? Tuache chuki na ghiliba ndugu zangu.
 
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni​

Ijumaa, Aprili 14, 2023
magufuli-pic.jpg

Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura ya kiongozi huyo na uwekezaji mkubwa alioupeleka wilayani Chato.

Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu ndio waandishi walioandika kitabu hicho chenye jina 'I am the State' ikiwa na maana Mimi ndio Dola.

Kitabu hicho linaonyesha hali ilivyo sasa wilayani Chato alipozaliwa kiongozi huyo mkuu wa nchi baada ya miradi mikubwa ya maendeleo
Miongoni mwa mambo yaliyoangaziwa katika kitabu hicho ni wanyama waliopelekwa Chato enzi ya utawala wa Rais Dk Magufuli, ujenzi wa kiwanja cha ndege, uboreshaji mkubwa wa miundombinu, wananchi kukimbilia kununua viwanja, ujenzi wa masoko na miradi mingineyo.

Pia kitabu hicho kimeangazia fedha zilizopelekwa wilayani huko zitarejeshwaje, mpango wa wilaya hiyo kuandaliwa kuwa mkoa uko uliishia wapi.

Kabla ya uzinduzi wa kitabu hicho Ansbert Ngurumo amesema jina la kitabu limetokana na hofu iliyoshuhudiwa baada ya utawala wa hayati Dk Magufuli tangu mwaka 2015-2021 kuelekeza miradi mingi eneo alikozaliwa bila kuwepo mtu aliyehoji.

Amesema kilichofanyika ndani ya utawala wa Dk Magufuli ilikuwa ni historia ya kipekee kwani awamu zote za viongozi waliopita hapa nchini hakukuwa na kiongozi aliyefanya uwekezaji mkubwa eneo alilotoka.

Mbali na uwekezaji walioutaja kuwa na dalili zote za ubinafsi alioufanya kiongozi huyo, amesema upo ukandamizaji mkubwa alioufanya kwenye jamii na kutoa kauli zenye vitisho kuonyesha hakuna aliye juu yake.

"Kama mnafikiri mpo huru kiasi hicho watch it,"Kauli hayati Dk Magufuli enzi ya uhai wake ambaye imeleta tafsiri kwenye kitabu hicho namna ambavyo uongozi wake haukutetereshwa na kitu chochote.

Akizindua kitabu hicho Askofu wa Jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema uandishi wa kitabu hicho uwe chachu kwa viongozi wastaafu na walio madarakani kuandikiwa vitabu kulingana na mazuri na mabaya yao.

Amesema kitabu cha I am the State kinaonyesha namna fedha za umma zilivyotumika nje ya bajeti ya bajeti ya serikali.

"Mambo yaliyotajwa katika kitabu hiki yalitendeka nchi ikiwa gizani na watu walinyamazishwa na haya yaliyoandikwa ni sehemu ndogo ya yaliyotendeka nchi ikiwa gizani"amesema.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom