system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Huu ushauri wa ma legends kwenda kwa madogo kwenye game ya mapenzi na wanawake.
Legend yeyote anaruhusiwa kutoa ushauri kwa hawa madogo wanauouana na kufa kila day sababu ya mapenzi.
We legends we admit. Mapenzi yanauma sio siri. But legends have solutions for every thing. Uzoefu ni mwalimu bora.
Fuatilia hapa ushauri wa ma legends kwenye suala zima la mapenzi na wanawake ili kuokoa that young generation na kifo cha mapenzi
Jiweke kwenye nafasi ya mzazi wa mtoto wa kiume ama wa kike anayepoteza maisha kwa sababu ya mapenzi. Uliwekeza kwa mtoto wako aje kufa kifo cha kishujaa ama cha kimapenzi?
Hizi ni siri ambazo kwa miaka ya hivi karibuni Dunia inajitahidi sana kuzificha watoto wa kiume. Ma legends tunaziweka hadharani. Mwenye kusikia na asikie.
Kabla hujafanya maamuzi yeyote yahusuyo mapenzi njoo pitia huu ushauri wa ma legends. Km kuna sehemu unatanzika kwenye mahusiano njoo pitia huu ushauri wa ma legends. Utakusave sana.
Exceptional: Wanawake wazee ni ma legends yaani ni wanaume wenzetu. Hii mada ni kwa ma chicks sio kwa wanawake wazee