From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

Mtoa mada kaongea ukwell, sio ujinga..Nimefanya uchunguzi binafsi, na nimesoma vitabu vingi vya kimahusiano vilivyoandikwa na waandishi kama Esther villar, rollo tomasi, etc nimegundua kiasilia & in general terms wanawake hamna uwezo wa kutupenda wanaume, kama sisi wanaume tunavowapenda wanawake, in general terms upendo wa kweli wa mwanamke upo kwa mtoto wake wa kumzaa, ndio maana biblia imempa mwanaume jukumu la kupenda na mwanamke kapewa jukumu la kuheshimu mumewe

Mtoa mada katuasa wanaume tusipende wanawake coz wadada wa siku hizi ukiwapenda serious kuna uwezekano mkubwa lazima kitu kizito utosini kikuhusu Depal
Watu hawajui maana ya upendo ni Nini

Hili ndiyo jambo linaloleta mtafuluko sana ktk jamii yetu ya Leo.

Kwa Nini mwanamke aliambiwa awe mtii na mwanaume ampende mwanamke???

Wajua maana yake????

Iko hivi mwanamke anapenda anao ule upendo automatically.

Na mwanaume ana utii ule automatically

Mwanamke analack utii na mwanaume analack kupenda


Tatizo lililopo ni kuwa mwanamke huvutia kwake yaani apendwe na mwanaume na mwanaume huvutia kwake atiiwe na mwanamke

Hapa ndipo zali ilipo

Bila bila huwa zinanyukwa hapa
 
Back
Top Bottom