From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

Ni bora kuwa single kuliko kumiliki mwanamke mmoja, mwanamke mmoja atasababisha kuharakisha kifo chako.
 
Sioni legend hapa. Naona mwanaume aliyeumizwa na mapenzi. Anayejaribu kujifariji na vimisemo ambavyo havifanyi kazi. You should be solving your serious money problems.

Ehee mtoa mada akisha-solve serious money problems zake ashakuwa tajiri kinachofuatia ni nini, kama nakuona ewe mdada mdangaji pro max mwenye tabia ya kuumiza wanaume bila sababu Hannah
 
Achana na mwanamke ombaomba, hakikisha kipato chako kinatumika ipasavyo kujijenga kiuchumi na kuwaendeleza wa damu yako. Mwanamke ombaomba atadumaza uchumi wako na kukurudisha nyuma.

Tumia ziada yako(pesa ya ziada katika matumizi) kumfurahisha mwanamke pale unapotaka kupata furaha.
 
Tunaendelea na ninaishia hapa kwa leo.

Hakikisha kwenye mahusiano ya kujenga maisha na mwanamke.

Mwanamke anakuwa mfuasi wako sio wewe uwe mfuasi wake. Tazama wafuasi wa timu za soka. Mwanamke awe your die hard fan sio ww uwe die hard fan wake.

Ukiwa mfuasi wa mwanamke utakufa. Kila leo wanaume wanaendelea kufa na huku wanawake wakibaki wajane sababu wanaume wanaumizwa mioyo yao.

Mwanamke awe mfuasi wako sio ww uwe mfuasi wake. Tena awe your die hard fan sio fan wa ki polepole. Nimerudia tena.

Naishia hapa.

From the legends.
 
Ehee mtoa mada akisha-solve serious money problems zake ashakuwa tajiri kinachofuatia ni nini, kama nakuona ewe mdada mdangaji pro max mwenye tabia ya kuumiza wanaume bila sababu Hannah
Wanaume maskini ndio wanaonaga kuna wanawake wadangaji. Sasa ungana na mtoa mada mtafute hela.
 
Sasa hiyo ndio maana ya Lejendi sababu anauzoefu wa kutosha kwa sababu kashapitia hayo maswaibu ya kutosha
Huyu amepitia na bado anapitia. Ukisoma maandishi yake utaelewa bado anapitia.
 
Mtoa mada kaongea ukwell, sio ujinga..Nimefanya uchunguzi binafsi, na nimesoma vitabu vingi vya kimahusiano vilivyoandikwa na waandishi kama Esther villar, rollo tomasi, etc nimegundua kiasilia & in general terms wanawake hamna uwezo wa kutupenda wanaume, kama sisi wanaume tunavowapenda wanawake, in general terms upendo wa kweli wa mwanamke upo kwa mtoto wake wa kumzaa, ndio maana biblia imempa mwanaume jukumu la kupenda na mwanamke kapewa jukumu la kuheshimu mumewe

Mtoa mada katuasa wanaume tusipende wanawake coz wadada wa siku hizi ukiwapenda serious kuna uwezekano mkubwa lazima kitu kizito utosini kikuhusu Depal
From the legend
 
Mwanamke lazima umpende ndiyo kisha uwe nae katika mahusiano, hasa kwa sisi waowaji.

Shida yenu vijana wengi hamjajua ya kuwa Wanawake wana upungufu wa dini na akili na sisi tumefanywa kuwa jinsia bora juu yao.

Mwanamke unaweza ukawa umamlisha, unamvisha na muhudumia kwa kila kitu, lakini ukimkosea kidogo utasikia anakwambia "Huna jema lolote ulilowahi kunifanyia". Sasa huyu vipi au iweje akuudhi kisha kwa hasira umuue au umdhuru ?

Kumjua Mwanamke ni jambo la dakika moja tu, huwa nawashangaa vijana wanavyosema kumjua mwanamke ni jambo gumu mara mwanamke haeleweki. Shida yenu hamna elimu sahihi ya hawa viumbe.
 
Ni bora kuwa single kuliko kumiliki mwanamke mmoja, mwanamke mmoja atasababisha kuharakisha kifo chako.
Kuwa na Mwanamke mmoja kwa maana mke, ni udhaifu mkubwa sana kwa sisi Wanaume.
 
Nyie ndio pretenders....hamnaga papuchi ya bure kabisaa. Muachage uwongo
Pretender loh. Sasa nipewe hela na nina zangu za kunitosha. Mtu wangu niko naye sio kwa sababu ananipa hela. Tuko kupeana raha na kusaidiana kwa shida na raha.
 
Back
Top Bottom