From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

Hahaha, sasa mtu anakuambia huna mbele wa nyuma, lazima na yeye ajibiwe kihuni
Utakuwa na uwezo wakujibu kihuni kama una hela bwana...sie wengine uanaume wetu upo kwenye hela bila hela nawa mdogo kama piriton
 
Mwanaume unaangalia mpira wa soka?

Au unaangaliaga game gani za team work?

Sasa huyo unayemtaka awe mpenzi wako kimaisha anapaswa kuwa na uwezo wa ki team work
 
Nyie ni kundi. Mnapaswa kufanya kama team work.

Hivyo hakikisha anakuwa partner na sio vinginevyo.

Angalia beki / viungo / strikers za Simba ama Yanga ama za timu yeyote ile Ulaya ama popote pale.

Jaribu kufikiria kuhusu combinations za mabeki ama ma midfielders ama strikers.

Kwenye ndoa za same applied. Usijichanganye
 
Hakikisha mwanamke wako wa ujenzi wa maisha ni patner wako.

Anajua kuji position kwenye majukumu ya kifamilia. Anajua kuji position kwenye vita za kiuchumi.

Haachi nafasi. Haachi gap.

You young ones. Ikitokea mwanamke wako akaacha gap kwenye build up ya mashambulizi fahamu you will be severely punished aidha kiuchumi ama ki upendo ama ki vyovyote vile.
 
Mtoa mada,
Unashindwa kubalance jinsia ktk content ya mada yako
 
Ushauri mzuri..naamini walengwa wataufanyia kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukweli ni kwamba haya mambo hayana "legends" sema kuna watu ambao "mioyo yao imekufa ganzi" kutokana na matukio waliyopigwa. This means wakipata watu wa "ndoto zao" wanapenda tena na kusahau rules & principles walizoweka hapo kabla.

Ukifuatilia huu uzi utagundua baadhi ya wachangiaji wamekuwa emotional sana (wamecatch feelings), this does not necessarily mean ni legends. Hata umdate shetani gan, bado unaweza kukutana na shetani pro akakupiga kitu heavy tu! We only need to learn from mistakes & experience.
Tupeane ushauri kulingana na experience ya watu tuliokutana nao, ila hayana mwongozo
 
Acha ujinga
Mtoa mada kaongea ukwell, sio ujinga..Nimefanya uchunguzi binafsi, na nimesoma vitabu vingi vya kimahusiano vilivyoandikwa na waandishi kama Esther villar, rollo tomasi, etc nimegundua kiasilia & in general terms wanawake hamna uwezo wa kutupenda wanaume, kama sisi wanaume tunavowapenda wanawake, in general terms upendo wa kweli wa mwanamke upo kwa mtoto wake wa kumzaa, ndio maana biblia imempa mwanaume jukumu la kupenda na mwanamke kapewa jukumu la kuheshimu mumewe

Mtoa mada katuasa wanaume tusipende wanawake coz wadada wa siku hizi ukiwapenda serious kuna uwezekano mkubwa lazima kitu kizito utosini kikuhusu Depal
 
Kazi yako ni kujamba kunya kula kukojoa kujipambana kufagia uwanja kuosha vyombo kufua nguo na kuto.mbwa nothing else....legends we are talking kitulize hicho kitu ama kipelekwe kwa mhusika. Utafutaji ni majukumu yetu ya asili

I love you mrembo wangu.
Sioni legend hapa. Naona mwanaume aliyeumizwa na mapenzi. Anayejaribu kujifariji na vimisemo ambavyo havifanyi kazi. You should be solving your serious money problems.
 
Mtoa mada kaongea ukwell, sio ujinga..Nimefanya uchunguzi binafsi, na nimesoma vitabu vingi vya kimahusiano vilivyoandikwa na waandishi kama Esther villar, rollo tomasi, etc nimegundua kiasilia & in general terms wanawake hamna uwezo wa kutupenda wanaume, kama sisi wanaume tunavowapenda wanawake, in general terms upendo wa kweli wa mwanamke upo kwa mtoto wake wa kumzaa, ndio maana biblia imempa mwanaume jukumu la kupenda na mwanamke kapewa jukumu la kuheshimu mumewe

Mtoa mada katuasa wanaume tusipende wanawake coz wadada wa siku hizi ukiwapenda serious kuna uwezekano mkubwa lazima kitu kizito utosini kikuhusu Depal
Huo ndio ukweli. Ata kwenye ndoa mke akishazaa tuu ujue imekula kwako hana time na wewe. Ni yeyey na mtoto basi.
Kilichobaki ni wewe mwanaume kwenda kugegegda nje tuu
 
Back
Top Bottom