From the legends to the youngs. Hizi ndio kanuni za mahusiano

Watu hawajui maana ya upendo ni Nini

Hili ndiyo jambo linaloleta mtafuluko sana ktk jamii yetu ya Leo.

Kwa Nini mwanamke aliambiwa awe mtii na mwanaume ampende mwanamke???

Wajua maana yake????

Iko hivi mwanamke anapenda anao ule upendo automatically.

Na mwanaume ana utii ule automatically

Mwanamke analack utii na mwanaume analack kupenda


Tatizo lililopo ni kuwa mwanamke huvutia kwake yaani apendwe na mwanaume na mwanaume huvutia kwake atiiwe na mwanamke

Hapa ndipo zali ilipo

Bila bila huwa zinanyukwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…