From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

Mahakama hizi za maelekezo kutoka juu?

Hiyo mahakama inashindwa nini kuthibitisha uhaini wake kwa zaidi ya miezi 15 sasa??

Kesi ya uhaini 1983 iliyohusisha watu watu 19 , wakiwemo wanajeshi 14 unajua haikufika hata mwaka kutamatika iweje huu uhaini bandia wa mtu mmoja unaenda miezi 15 sasa?
Ushahidi ulikuwa intact
 
Ushahidi ulikuwa intact
Huu wa saa hizi ni wa kuunga na gundi sio?

Maana mpaka mmejenga vibanda mahakamani kuingiza mashahidi wa siri na kupitisha haraka haraka sheria mpya ya mashahidi wa siri ila bado kijasho kinawatoka kuleta proof ya ushahidi.

Kila shahidi anayekuja anataja ushahidi wake ni video ya YouTube kutoka channel ya Jambo TV.

Hakuna substance yoyote katika ushahidi huu wa kutumia sijui walima mboga na wengine wanamezeshwa cha kuongea wakifika katika cross examination wanaangukia pua.

Mtu yoyote timamu anafahamu kabisa hii kesi uchwara haikutakiwa hata kufika mahakama kuu ilitakiwa kuishia Kisutu maana jamhuri ilishashindwa sema kwa sababu ya maelekezo na kutaka kumkomoa Lissu wanatumia mahairisho kila siku.
 
Kwani ile ya Youtube ni uwongo? Mbona wote tunemsikia akisema atakinukisha!!
 
Kikwete aliwahi kunukuliwa akisema .
"Afadhali Dk silaha kuwa Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge.

Sasa kawa mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini ndio balaa kabisaaaaaaaa

1.KUMUUA LISSU NI MTIHANI MZITO.

2. KUMUACHIA HURU NI MTIHANI MZITO SANA.

3. KUMFUNGA NI ISHU NGUMU.

4. KUMUACHA AENDE NJE NDIO BALAA KABISA.
 
Kwani ile ya Youtube ni uwongo?
Ule ndio ushahidi wa uhaini? unajua nchi kama Kenya kesi ya mwisho ya uhaini ilikua lini?

Na unajua kwanini ni ngumu Kenya hata kuanzisha shauri la uhaini?

Mbona wote tunemsikia akisema atakinukisha!!

Tafsiri ya neno "kukinukisha" ni ipi kisheria?

Mtu akisema atakinukisha ni uhaini?

Lissu alimuuliza mwanasheria wenu Katuga hilo swali hakuweza kulijibu na mimi nimekuuliza tena jitahidi ulijibu.
 
Back
Top Bottom