From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

Na hakika Mungu Mkuu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu uliyefunuliwa kwetu na Bwana wetu Yesu Kristo, yeyote apangaye uovu dhidi ya Tundu Lisu na dhidi ya awaye mwingine yeyote anayepinga dhuluma, basi uovu huo aupangaye, ukamrudie mwenyewe mara tatu zaidi.
Tunakushukuru Mungu wetu uliyeamua kutuletea Tumdu Lisu, mtu ambaye yupo tayari kuteseka kwaajili ya haki ya Watanzania wote. Mungu mkuu tunaomba ukampe kila aina ya ulinzi Tundu Lisu dhidi ya waovu wake, hata wakastaajabie kushindwa kwao, na ushindi wa Lisu kwa mkono wako Mkuu. Ukapate kuonekana, yote kwa utukufu wako Mungu wetu.
Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
MY RESEVERD COMMENTS:

1. Nimesoma hiyo taarifa iliyoandikwa kwa kiingereza, nimeridhika pasipo shaka yoyote kuwa hiyo ni hati ya Tundu Lissu mwenyewe..

2. Hicho ni Kiingereza chake kwa 100%. Amepataje simu au kifaa cha kumwezesha kutuma ujumbe huu? It's a million dollar question to be answered in another day. Lakini kinachoonekana hapa ni kama vile, yeye katoa ujumbe wa mdomo na mtu mwingine anayesimamia Akaunti zake za mitandao ya kijamii akauandika na kuposti. Hilo ni zuri, maana hii ndio njia Moja ya njia za wanaharakati wa ukombozi na wapigania uhuru wote walio ktk kifungo hutumia kuwasiliana na watu walio nje..

3. Na napenda kuamini kwa 100% kuwa, ndani ya serikali, Jeshi la Polisi, Magereza na TISS bado Kuna watu wema na wanaompenda Tundu Lissu na wanaoamini kwa dhati kabisa kile anachosimamia na kukipigania kuwa ndio ukombozi wao pia kutoka katika nira na vifungo vya utumwa wa kimwili na kifikra uliotengenezwa na mfumo wa ki CCM kwa takribani miaka 65 sasa tangu uhuru 1961 ambao sasa ni lazima uangushwe na kupotelea mbali...

4. Sasa mliokuwa hamuamini, bila shaka mtageuza fikra zenu zifikiri kivingine na muanze kuelewa kuwa, hii sio kesi ya kawaida ambayo mahakama ktk mifumo yake ya kawaida ya utoaji haki inaweza kuamua..

5. Hii ni kesi ya akina Jakaya Kikwete na genge lake wakimtumia Samia Suluhu Hassan kama egemeo lao ili ammalize huyu Bwana Tundu Lissu ambaye wanamdhania ni adui yao, kikwazo cha malengo yao ya kisiasa na kiuchumi.

6. Ingekuwa ni kesi ya kisheria, ingeshaishia kule chini kwenye mahakama ya ukabidhi ya Kisutu kwa kuwa haina miguu ya kisheria kuweza kusimama mahakamani..

7. Lakini kwa kuwa, waovu na wahuni hawa wameshindwa kumpata kwa njia zingine ikiwemo kumuua kwa risasi, wamedhania na wanaendelea kudhani kuwa kwa kuitumia mahakama wanaweza kutimiza mpango na malengo yao, KUKIONDOA WANACHODHANI KIKWAZO, uhai wa Tundu Lissu...!

8. Tunawaapia kwa Jina la Mungu Yehova aliyehai katika Yesu Kristo kuwa, mpango wao hautafanikiwa. Tundu Lissu hatakufa kwa mapenzi na utashi wao. Kabla hajafa yeye, wataanza kufa wao kwanza mmoja baada ya mwingine..!

9. Kila anayemjua na kumwamini Mungu Yehova ktk Yesu Kristo, endelea kumuombea Tundu Lissu. Shetani Ibilisi ndani ya Samia na genge lake wapoteane na waanze kuchinjana wao kwa wao. Sema hivyo hivyo...

10. Tumia Neno la Mungu (Upanga wa Roho) unapoomba. Mistari hii ni bunduki ya kuwamaliza watesi wetu wote. Itumie kikamilifu ktk maombi yako:

Ayubu 5:12-15 SUV
".....Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari...."

Isaya 54:17 SUV
"......Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA...."

Maombolezo 3:31-33 SUV
".....Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu Hata milele. Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake. Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha...."
​

Mungu Yehova ktk Yesu Kristo akubariki sana. Amina🙏🙏🙏🙏
Mpaka umetuandikia Biblia Mkuu?
 
Huyu mvaa shanga na shungi alipoifikisha hii nchi Mungu ndio anajua.

Mungu mbona unachelewa sana kusikia Maombi Yetu?
 
Huo ujumbe wa Lissu mbona ni general concerns of his well being kwa kuwa muda mrefu gerezani ambao unaweza kuchangia kuzorota kwa afya yake.
Hakuna sehemu imeandika kama ni immediate risk of harm from potential instigators au mpango mahsusi wa kumdhuru.
Kama wangekuwa wanataka kumdhuru mbona ni rahisi sana na wangefanya mwanzoni , lakini kutokana na kesi yake kuchukua muda mrefu na mpaka sasa kuwa inafuatiliwa na mashirika na balozi za nje hakuna kitakachomtokea.
Tulizeni wenge
 
Huu ndio tunaita kuuingiza udini na ulokole kwenye siasa unasababisha kukosa mwamko kwa watanzania kusapoti upinzani hasa chadema mmeingiza udini mwingi kwenye chama tokea Mbowe aondoke.
Kwani huwezi kutoa hoja bila kuingiza ugalatia wakati hili suala la kisiasa ?
 
Akili yako ni ya kitoto sana, kama hata huwezi kujuwa kuwa Tundu Lissu huyo huyo alishapigwa risasi zaidi ya 16 mwilini mwake.
Au bado huelewi?

Watu wa aina yako, mnaoonekana kuwa na akili ya kutosha kuelewa, lakini bado mnajifanya hamuelewi chochote....

Ninachoweza kusema ni kuwa, mtu unapofikia hatua ya kushangilia waTanzania wenzako kuuliwa kwa sababu unadai wamehatarisha ki'fremu' chako hapo mtaani, na kusahau kwamba aliyesababisha hali hiyo ni Samia Suluhu Hassan unayemwabudu kwa kukutupia vimifupa vya masalia ya mezani kwake; utu wako upo wapi kama wewe siyo bidhaa tu ya kununuliwa sokoni, kama zilivyo bidhaa nyingine zozote.
Hamna kitu hapo, hebu na wewe mara moja moja tumua akili yako. You don't have to swallow every garbage that is written concerning Tundu.

Mbona contradictions ziko wazi tu!! Hata mtoto wa primary school ya Kilolo anatambua
 
You know why? Samia is full of garbage, that's why!
Utamwamini Samia kwa jambo gani?
 
Huo ujumbe wa Lissu mbona ni general concerns of his well being kwa kuwa muda mrefu gerezani ambao unaweza kuchangia kuzorota kwa afya yake.
Hakuna sehemu imeandika kama ni immediate risk of harm from potential instigators au mpango mahsusi wa kumdhuru.
Kama wangekuwa wanataka kumdhuru mbona ni rahisi sana na wangefanya mwanzoni , lakini kutokana na kesi yake kuchukua muda mrefu na mpaka sasa kuwa inafuatiliwa na mashirika na balozi za nje hakuna kitakachomtokea.
Tulizeni wenge
Absolutely correct!! Halafu nawashangaa haohao CHADEMA wanazusha kuwa eti Serikali ilituma watu wamshawishi apokee Tsh 5 Billion ili atoke kwa masharti ya kuto
You know why? Samia is full of garbage, that's why!
Utamwamini Samia kwa jambo gani?
Amejenga nchi yenye uchumi na miundombinu imara
 
Absolutely correct!! Halafu nawashangaa haohao CHADEMA wanazusha kuwa eti Serikali ilituma watu wamshawishi apokee Tsh 5 Billion ili atoke kwa masharti ya kuto

Amejenga nchi yenye uchumi na miundombinu imara
"Nchi yenye uchumi na miundo mbinu imara"..., ni kama kichwani mwako kuna swichi ya kuona maluweluwe, na kuyaita kitu chochote kile.
Hakuna rais (na Samia simwiti rais); aliyevuruga kila kitu kama Samia alivyofanya ndani ya taifa hili.
Tanzania itahitaji 'rehabilitation' ya kipekee sana baada ya huyu mtu mwovu kuirudisha nchi kwenye mwelekeo wa kimaendeleo.
Ubovu aliousababisha wakati wake utaonekana si leo, lakini baadae. Kuna kazi kubwa sana ya kuinyanyua tena hii nchi.

Lakini uharibifu mkubwa zaidi kaufanya ndani ya waTanzania wenyewe. Elimu sasa D ni alama ya kujivunia kwa mwanafunzi akiipata.WaTanzania wamewekwa katika hali ya utwana, kutumikia wengine, hasa wageni; tabia ya kujiamini kuwa wanao uwezo wa kufanya mambo makubwa katika maendeleo ya nchi yao haipo tena.
Samia kawaaminisha watakuja watu kuendeleza taifa hili.

Hiyo "miundo mbinu imara" sijui wewe unaiona wapi.
Samia hajaanzisha mradi mkubwa hata mmoja tokea aingie madarakani.
Uchumi aliojenga naona ni wa machawa kama wewe., mliowezeshwa kuiba na kutengeneza fremu, ambazo sasa mnahalalisha kuua waTanzania kwa vile hawataki unyanyasaji mnaowafanyia.
 
Siwezi kukusaidia chochote kama wewe ni kipofu mpaka kwenye ubongo. Yaani miundombinu, mahospitali, SGR manziona na kuzitumia ila mnajizima data.

Hapa lazima mpate ukichaa kwa kukata ukweli
 
Ni wapi nilipohitaji msaada wako.
Hata huna aibu kudhani unaweza kuwa na msaada kwangu juu ya jambo lolote?

Bahati mbaya sana, Samia ataondoka kwa aibu kubwa madarakani, ambayo hakustahili kabisa kuwa kwenye nafasi hiyo. Ataondoka bila ya jambo lolote zuri alilofanya.
 
Huu ndio tunaita kuuingiza udini na ulokole kwenye siasa unasababisha kukosa mwamko kwa watanzania kusapoti upinzani hasa chadema mmeingiza udini mwingi kwenye chama tokea Mbowe aondoke.
Kwani huwezi kutoa hoja bila kuingiza ugalatia wakati hili suala la kisiasa ?
Mbowe ni mmeo au ni mwanasiasa unaye juu juu tu?
 
Hakuna tuhuma feki hadi mahakama ithibitishe
Mahakama hizi za maelekezo kutoka juu?

Hiyo mahakama inashindwa nini kuthibitisha uhaini wake kwa zaidi ya miezi 15 sasa??

Kesi ya uhaini 1983 iliyohusisha watu watu 19 , wakiwemo wanajeshi 14 unajua haikufika hata mwaka kutamatika iweje huu uhaini bandia wa mtu mmoja unaenda miezi 15 sasa?
 
Back
Top Bottom