From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

MY RESEVERD COMMENTS:

1. Nimesoma hiyo taarifa iliyoandikwa kwa kiingereza, nimeridhika pasipo shaka yoyote kuwa hiyo ni hati ya Tundu Lissu mwenyewe..

2. Hicho ni Kiingereza chake kwa 100%. Amepataje simu au kifaa cha kumwezesha kutuma ujumbe huu? It's a million dollar question to be answered in another day. Lakini kinachoonekana hapa ni kama vile, yeye katoa ujumbe wa mdomo na mtu mwingine anayesimamia Akaunti zake za mitandao ya kijamii akauandika na kuposti. Hilo ni zuri, maana hii ndio njia Moja ya njia za wanaharakati wa ukombozi na wapigania uhuru wote walio ktk kifungo hutumia kuwasiliana na watu walio nje..

3. Na napenda kuamini kwa 100% kuwa, ndani ya serikali, Jeshi la Polisi, Magereza na TISS bado Kuna watu wema na wanaompenda Tundu Lissu na wanaoamini kwa dhati kabisa kile anachosimamia na kukipigania kuwa ndio ukombozi wao pia kutoka katika nira na vifungo vya utumwa wa kimwili na kifikra uliotengenezwa na mfumo wa ki CCM kwa takribani miaka 65 sasa tangu uhuru 1961 ambao sasa ni lazima uangushwe na kupotelea mbali...

4. Sasa mliokuwa hamuamini, bila shaka mtageuza fikra zenu zifikiri kivingine na muanze kuelewa kuwa, hii sio kesi ya kawaida ambayo mahakama ktk mifumo yake ya kawaida ya utoaji haki inaweza kuamua..

5. Hii ni kesi ya akina Jakaya Kikwete na genge lake wakimtumia Samia Suluhu Hassan kama egemeo lao ili ammalize huyu Bwana Tundu Lissu ambaye wanamdhania ni adui yao, kikwazo cha malengo yao ya kisiasa na kiuchumi.

6. Ingekuwa ni kesi ya kisheria, ingeshaishia kule chini kwenye mahakama ya ukabidhi ya Kisutu kwa kuwa haina miguu ya kisheria kuweza kusimama mahakamani..

7. Lakini kwa kuwa, waovu na wahuni hawa wameshindwa kumpata kwa njia zingine ikiwemo kumuua kwa risasi, wamedhania na wanaendelea kudhani kuwa kwa kuitumia mahakama wanaweza kutimiza mpango na malengo yao, KUKIONDOA WANACHODHANI KIKWAZO, uhai wa Tundu Lissu...!

8. Tunawaapia kwa Jina la Mungu Yehova aliyehai katika Yesu Kristo kuwa, mpango wao hautafanikiwa. Tundu Lissu hatakufa kwa mapenzi na utashi wao. Kabla hajafa yeye, wataanza kufa wao kwanza mmoja baada ya mwingine..!

9. Kila anayemjua na kumwamini Mungu Yehova ktk Yesu Kristo, endelea kumuombea Tundu Lissu. Shetani Ibilisi ndani ya Samia na genge lake wapoteane na waanze kuchinjana wao kwa wao. Sema hivyo hivyo...

10. Tumia Neno la Mungu (Upanga wa Roho) unapoomba. Mistari hii ni bunduki ya kuwamaliza watesi wetu wote. Itumie kikamilifu ktk maombi yako:

Ayubu 5:12-15 SUV
".....Yeye huyatangua mashauri ya wadanganyifu, Mikono yao isipate kuyatimiza makusudi yao. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao wenyewe; Na mashauri ya washupavu yaharibika kwa haraka. Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, Hupapasa mchana vilevile kama usiku. Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao, Hata kumwokoa mhitaji na mkono wake aliye hodari...."

Isaya 54:17 SUV
"......Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA...."

Maombolezo 3:31-33 SUV
".....Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu Hata milele. Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake. Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha...."
​

Mungu Yehova ktk Yesu Kristo akubariki sana. Amina🙏🙏🙏🙏
 
Afe tu kama kifo chake kipo

Wanker and sissified guy! Afe tu hakuna namna

Kwani akifa kuna hasara taifa litapataa? Walikuwepo watu wenye faida katika hli taifa walikufa na wakazikwa..hata yeye atazikwa!
Akili yako ilivyo haitofautishi kati ya kufa na kuuliwa; hicho ndicho kiwango cha ufinyu wa akili uliyo nayo.
 
Afe tu kama kifo chake kipo

Wanker and sissified guy! Afe tu hakuna namna

Kwani akifa kuna hasara taifa litapataa? Walikuwepo watu wenye faida katika hli taifa walikufa na wakazikwa..hata yeye atazikwa!
Neno hili kutoka kinywa ama keyboard yako NINALISITISHA na KULIKOMESHA.

Neno ama kauli uliyoitoa ikaamue hatima ya maisha yako usipotubu

Amen
 
Tundulisu atakufa kama wengine wanao kufa kulingana na mapenzi ya Mungu wala siyo kwa mapenzi ya muovu mmoja tu kuamua kumtoa hapa duniani kwa maslahi yake.

Mungu tunakuomba endelea kumlinda MH Lissu aendelee kutupigania hata huko huko alipo gerezani.
HAKIKA..

Aliyekufa kwa ajili yetu sote ni mmoja tu, Yesu Kristo pekee..

Kwa damu yake tumekombolewa, tumeokolewa na tu hai pamoja naye..

Kamwe shetani kwa kuwatumia kina Jakaya Kikwete na huyu mwanamke muuaji Samia Suluhu Hassan hawataitumia damu ya Tundu Lissu kama sadaka ya kukomaza uovu wao.

Tunakataa kwa nguvu zote na kwa kuwa Watanganyika tumekataa, Mungu Yehova amesikia maombi yetu na maombi ya TL mwenyewe na Jeshi la mbinguni (invisible) linamzunguka pande zote TL kumlinda. Yeyote anyoshaye mkono wake kumdhuru, atadhurika yeye kwa kadiri ya Nia yake....
 
Neno hili kutoka kinywa ama keyboard yako NINALISITISHA na KULIKOMESHA.

Neno ama kauli uliyoitoa ikaamue hatima ya maisha yako usipotubu

Amen
Unaongea kama naibu mungu au nabii na mchungaji wa chadema?

Toka hapa na ujinga wako
Ulipaswa usitishe kauli za huyo mwehu aliyepo ukonga aliyekuwa anandaa uhaini na mapinduzi kwa kauli zake za kukinukisha!

Toa hapa mikwala yako ya kishehe hapa.
 
Yaani mnatapa tapa hapa na ujinga wenu..kwani akifa kuna hasara yoyote kwa taifa?

Asiyeijua chadomoghasia ndo atatetemeka!
 
View attachment 3637314
================​
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER

Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.

For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.

His continued detention has drawn widespread international condemnation:

1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.

2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.

3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.

For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.

The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.

Protect Tundu Lissu.

The world is watching.

—Admin
================​

View: https://youtu.be/7nqyKd4XuDI?is=mI-5sxX27fm1Q_dK

Gentleman,
binafsi navishauri vyombo vinavyomshikilis huyo muungwana visithubutu kumuachia huru hata kwa sekunde moja tu kibaraka huyo wa mabwenyenye ya magharibi mwenye kiburi na dharau dhidi ya katiba ya taifa letu.

Aendelee kushikiliwa kama wanavyoshikililiwa watuhumiwa wengine korokoroni, hata asingizie nini asiachiliwe kabisa mkiuka sheria mkubwa sana huyo.

Na ni lazima kesi yake iendeshwe mpaka mwisho na hatimae ahukumiwe kwa mujibu wa sheria na katiba bila kumuonea huruma wala haya homeboy huyu aliea tamani kuinajisi nchi yetu kwa uhaini 🐒
 
Kwa sasa sidhani kama Samia anaweza kufanya kosa hilo
 
Afe tu kama kifo chake kipo

Wanker and sissified guy! Afe tu hakuna namna

Kwani akifa kuna hasara taifa litapataa? Walikuwepo watu wenye faida katika hli taifa walikufa na wakazikwa..hata yeye atazikwa!
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Gentleman,
binafsi navishauri vyombo vinavyomshikilis huyo muungwana visithubutu kumuachia huru hata kwa sekunde moja tu kibaraka huyo wa mabwenyenye ya magharibi mwenye kiburi na dharau dhidi ya katiba ya taifa letu.

Aendelee kushikiliwa kama wanavyoshikililiwa watuhumiwa wengine korokoroni, hata asingizie nini asiachiliwe kabisa mkiuka sheria mkubwa sana huyo.

Na ni lazima kesi yake iendeshwe mpaka mwisho na hatimae ahukumiwe kwa mujibu wa sheria na katiba bila kumuonea huruma wala haya homeboy huyu aliea tamani kuinajisi nchi yetu kwa uhaini 🐒
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
View attachment 3637314
================​
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER

Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.

For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.

His continued detention has drawn widespread international condemnation:

1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.

2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.

3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.

For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.

The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.

Protect Tundu Lissu.

The world is watching.

—Admin
================​

View: https://youtu.be/7nqyKd4XuDI?is=mI-5sxX27fm1Q_dK

Sidhani kama kuna ukweli kwenye taarifa hizi kuwa Tundu ana hatari ya kuuliwa. Nadhani ni hisia tu kwa sababu zifuatazo:-

1.Kuna wakati Heche anatuambia kuwa eti kuna watu wametumwa kwenda Ukonga kumshawishi Tundu apokee Tsh 5 Bilioni halafu asijihusishe na siasa. Taarifa hizo zimewahi kuletwa humu na britanicca
View attachment 3637314
================​
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER

Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.

For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.

His continued detention has drawn widespread international condemnation:

1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.

2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.

3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.

For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.

The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.

Protect Tundu Lissu.

The world is watching.

—Admin
================​

View: https://youtu.be/7nqyKd4XuDI?is=mI-5sxX27fm1Q_dK

Huu ni mchezo tu wa Tundu na Heche, hakuna kitu kama hicho. Kuna wakati mnasema eti Tundu kafuatwa Ukonga ili apokee Tah 5 Bilioni halafu wamuachie lakini yeye kakataa.

Kweli kuna mtu anapenda kukaa rumande na wafungwa waliohukumiwq kunyongwa??

Kuna wakati Heche anasema eti hatutaki maridhiano bila Tundu kuachiliwa!! Haiingii akilini kufurahia kiongozi wako kuwa rumande wakati kuna namna ambayo watesi wake wanaweza kumuachia.

Nasema SIPOKEI pumba hizi kuhusu Tundu kuuliwa, NENDENI mkajipange upya na uwongo wenu
 
Back
Top Bottom