Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ila kiukweli haya mavitu hakuwa anafanya, ni kama alificha utamu wakeAzam hawana akili. Waliweka dau kubwa kwa Feisal badala ya Chilambo. Kukariri ni kubaya sana.
Thubutu, wangepigwa nje ndaniYanga sijui kama ingetoka kwa hii timu
Ndio kama hivyo tena. Chilambo katakataWalaa.
Zaka za Kazi anatukana tu huko aliko. 😂🤣Wamekariri maneno ya mashabiki.
Wakimuangalia anachoifanyia Simba wanatamani wamrudishe lakini ndiyo basi imeisha
Kabisa.Chilambo kumbe anatufaa namba 9
Kwavile Azam walimletea dharau na kumchukulia poa, alikuwa sahihi kuficha uwezo wake na kuwakosesha pesa ya maana.Ila kiukweli haya mavitu hakuwa anafanya, ni kama alificha utamu wake
Jabbar achukue nafasi ya nani kati ya Kagoma na MaemaIbrahim Jabbar anatakiwa aingie hapo kati na Chama akapumzike aingie Kaletso