Hata mie naona aisee.Na Doumbia kachachuka leoππ
Mkuu acha hizo basi. Mana tunawajua vyema.Ili uto wasilale kabisaa doumbia amalizie hatrick
Wamefunga?Ahsante de agosto
Hili ni jambo jema sanaa. Tumewachafulia kitabu.Gooooooooo! De Agosto tumepata goli hapa dakika 90 π₯π₯π₯
Hapo stori ni Dumbya.Kwahiyo leo stori ni goli sita au magoli ya ndumbya ππ
Mtani kama nakuona ulivyokasirika baada ya kuingia hilo goli moja. ππFull Time
De Agosto 1- 6 Simba
Pole. πSimba washaharibu furaha