ππ15 de agosto mpaka muda huu wanajiuliza ni nani alitutuma tufuzu mashindano ya caf champion
jangwaniππSimba kwa sasa imejipata. Yaani ukikutana nayo unatamani kujinyea, hata timu za Arabuni hawaombei kukutana na hii Simba. Jangwani wanajiharishia tu wakiiona hii Simba.
BTW: Nauza pampas bei nafuu
Dokta kaniambia mkojo wangu una chembechembe za sukariπHii Sukari itatuuwa wakuu π€£
Tunywe cheupe πIli kuiweka level tunafanyaje mkuuπ
Anachekesha kama sio ndugu yakoHujakosea π
Super leter ya baridiπHakuna namna nyingine ukiachana na hiyo au kwenye maji niweke chumviπ
Lete timu yako. Maneno yasiwe mengi.Leo Simba kapiga bomu mochware
Leta yako mkuuSimba wamecheza na 15Β° de bodaboda wa Angola
kama unaona hawa tumewaonea basi leta timu yakoSimba wamecheza na 15Β° de bodaboda wa Angola
Dumbia ndiyo habari ya mujiniπππAisee! Leo hatulali Mtani.
Kila tutakapopita habari itakuwa ni Dumbia.
Tafuta ambae sio 'Kibonde' tupambane.!Leo simba kakutana na kibonde..π¦