Dah mpaka nimebubujikwa na machozi
Kwa kweeli.Dumbia ndiyo habari ya mujini😂😂😂
Hebu hukoo. 😃Kulikuwa na haja gani ya kukitaja kitumbua?
Mtani huo muda upo basi. 😂Nilikwambia ukakae sebuleni uangalie pira sambusa🤣
Ila watu wana maneno. 😂😂
Safi.Ninechukulia poa tu mtani
Tutakoma leo. 😀
Tunakosaje sasa Ses.Kumbe De Agosto ndio walikua uwanja wa nyumbani, tena mbele ya mashabiki wao!?
Wengine wapo humuhumu Jei efu😜😜😜
Naona Mods wa Yanga kaunganisha uziTutakoma leo. 😀
Naona hadi umeyaanzishia uzi huko. 😂😂 lol.
Km Lucas Mwashambwa 🤣🤣🤣Dah mpaka nimebubujikwa na machozi
Hahaha simba huwa ikifanya vizuri inaniliza kama jinga vile😅
Hadi nimecheka peke yangu. Naenda nikaandike nakuta uzi umeletwa humu.Naona Mods wa Yanga kaunganisha uzi
Nje tushamaliza bila mashabiki, bado ndani tukiwa n amashabiki sasaSimba inapigwa ndani nje
Subiri kwanza tuwaangushie zahama tukiwa uwanja wa nyumbani maana tutawapiga mara mbili ya hizo huku Dumbia akiondoka na mpira wake kwa hat trickTunakosaje sasa Ses.
Kwa furaha ulizo nazo ningekuwa kulee 😉 ingebidi nikusake leo.