cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Nakuambia kachachukaa hatariiiii.Na Doumbia kachachuka leo๐๐
Doumbia hapoi wala haboi.
๐๐๐๐
Nakuambia kachachukaa hatariiiii.Na Doumbia kachachuka leo๐๐
Mnyama hivi ndio vitu vyake, sio mgeni kabisa, yuko kwenye uwanja wakee.Might Wanderers 6 ...
Fc 15 De agosto 6....
Simba kwani mna mpango gani huu mwaka?
Sindano + ushirikinaHadi Doumbia kawakandaa, wee huogopiiiii??
๐๐๐๐
Leo ni Doumbia tuu, Mjini kumewakaaaa!!!Kitumbua kimeingia mchanga.
Yaani goli moja limeyazima yale yote sita. ๐
Mtasema yoteee leoo, ๐๐๐๐Hakika hapa hamna timu mpaka doumbia kafunga.
Mgumba kapata mimba mji wote u.ejaa mate ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Uduguuu ukorofii huu sasa, ๐๐๐๐Wanaume mnaoshangilia magoli ya mpira, mngekua na nyie mnafunga kama hayo ndani ya ndoa zenu kusingekua na shida..!!
Naam ๐๐๐๐๐ฆ๐ฆDumbia kama Dumbia
Sema wewe!!! ๐๐๐๐Hii Simba ya 6 wapewe kombe lao. Mtani umejipata....sio kwa kugawa dozi huko aisee
Wengine gharama za dialysis hatuwezi, sasa itakuajee?Hii Sukari itatuuwa wakuu ๐คฃ
Mie basi hapa roho kwatuuuu!!! Mnavyoteseka km hivi.Timu imejipata aisee. Hakuna anayetamani kukutana na hicho kikosi
๐๐๐๐ jamaniiiii!! Hizi sasa sifa khaaah.Doumbia ni complete striker. Namfananisha na Harry Kane ingawa Doumbia ni fundi na ana jicho la kufunga.
๐๐๐๐Leo Vyura ni kutema mate tuu kwa vitete...kisa doumbia kafunga...
๐๐๐๐ vilio ni endelevu huu mwaka, naiona final kabisaa.Sindano + ushirikina
Kwani uko mjini gani hapa Tz ili nikualike ujionee kwa macho yako mkuu๐Uongo mtupu!
Mtani mbona Kideonii. ๐๐Mtaniii umeona Doumbia katupia 2 za kideoniiii?.
Weweeee!!! ๐๐๐
Nipo ila upepo mbaya ulipitaDaah! Ulipotelea wapi Mtani?
Nakusalimu.
Pole Mtani. Upepo huo ndo ule wa kesho kutwa Oktoba 92 au ule wa sisi kuwafunga mara kadhaa mfululizo. ๐๐Nipo ila upepo mbaya ulipita
Tuteseke kisa mtani kajipata? Sina roho ya kichawi hivyoMie basi hapa roho kwatuuuu!!! Mnavyoteseka km hivi.
๐๐๐๐
Mmetisha sana. Msimu huu gari limewakaSema wewe!!! ๐๐๐๐
SanaaaaMmetisha sana. Msimu huu gari limewaka