FT: 15 de Agosto 1-6 Simba SC l CAFCL - first Leg l Uhuru stadium l 21 October 2026

FT: 15 de Agosto 1-6 Simba SC l CAFCL - first Leg l Uhuru stadium l 21 October 2026

a6ceb95dd7f5440cac15639d110261af.jpg
 
Hii Simba ya moto sana.
Timu gani hiyo haijawahi hata kutoka nje ya nchi yao, hiyo ni sawa tu na timu kutoka huko Kaliua au Kibondo wanakimbia-kimbia tu na kujijampia hovyo hovyo uwanjani. Hata ile iliyocheza na Yanga nao ni wachoma mahindi tu. Bure kabisa.

Mpira wa Afrika kwa ngazi ya vilabu umeporomoka kabisa na timu za taifa zinaokolewa na wachezaji wanaocheza mpira wa kulipwa barani Ulaya na isingekuwa hivyo hata timu za taifa zingekuwa ni balaa kabisa.
 
Subiri kwanza tuwaangushie zahama tukiwa uwanja wa nyumbani maana tutawapiga mara mbili ya hizo huku Dumbia akiondoka na mpira wake kwa hat trick
Hiyo hat trick mtaisubiri kama mlivyosubiri haya magoli aliyoyapata leo.
Siku hiyo ndio uje kuleeè maana furaha itakua imekamilika😜😜😜
Eti eeeh! Haya ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom