Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona fainali iliyopita alibutuliwa?Hakuna timu ya kuifunga Liverpool
Cups specialist!!
Unaumwa weweLiverpool ataingia kwenye hii match akiwa amekamia (kutaka kulipa kisasi) , asichojua ni kwamba Madrid anaweza akaamua ushindi wake hata kwenye injury time, ili game angalau iwe competitive basi clopp aanze na hawa watu
Mane, Diaz, jota
Kiungo
Henderson, Fabio, keita
Ukuta wa nyuma
Trent, matip, Robertson,vvd
Kipa
Allison
Napo kipigo kipo pale pale, sana sana watapunguza idadi ya magoli
Chuma cha Mjeruman kinairudisha kumbukumbu ya usiku wa maaajabu ya Aturturk stadiumYani hii game kwanza ni Carlo Ancelotti vs Liverpool... third time 2005 na 2007 akiwa na Ac Milan ya kina Dida ,pirlo,kaka na wengineo na sasa akiwa Madrid.
Na pili ni Liverpool vs Real Madrid ambayo hapo awali walikuwa wamegawana Mataji baada ya kukutana mara mbili 1989 na 2018.
Therefore I think this game will be more about Don Carlo vs Liverpool for the third time ,Liverpool vs Real Madrid for the third time, Former Everton Manager vs Liverpool , Ancelotti to win forth UCL title[if he happen to win only] and lastly to find who is normal winner.
Fainali ya mwaka gani?Mbona fainali iliyopita alibutuliwa?
Ramos vs SalahFainali ya mwaka gani?
Mwaka gani mkuuRamos vs Salah
Kwanini mkuuNilipoiona tu sentensi" SHUKRANI ZA PEKEE ZIENDE KWA S.RAMOS KWA KUMTEGUA SALAH BEGA" Nimegundua kuwa mleta mada ni mkuda mmoja anaeichukia KLABU KUBWA zaidi DUNIANI R MADRID.
HALA MADRID...!!!
Huko azamtv tazama tu mechi za simba na yangaIvi hawa wachovu AZAM tv hawata rusha hili mbungi
1989? Ni mwaka 1981Yani hii game kwanza ni Carlo Ancelotti vs Liverpool... third time 2005 na 2007 akiwa na Ac Milan ya kina Dida ,pirlo,kaka na wengineo na sasa akiwa Madrid.
Na pili ni Liverpool vs Real Madrid ambayo hapo awali walikuwa wamegawana Mataji baada ya kukutana mara mbili 1989 na 2018.
Therefore I think this game will be more about Don Carlo vs Liverpool for the third time ,Liverpool vs Real Madrid for the third time, Former Everton Manager vs Liverpool , Ancelotti to win forth UCL title[if he happen to win only] and lastly to find who is normal winner.
🙏🏾Umechambua vizuri na kuweka baadhi ya kumbukumbu sawa, win or lose, Madrid is my favourite
Lakini lazima mshindi apatikane50/50, mechi itakuwa ngum