Maili tatu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 830
- 1,070
Viva Madrid...ila mane atatuumiza leo hata Kama siyo kwa kufunga goli, pamoja na Thiago atatuchafulia katikati kwetu leo...tusubiri dk 90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali tamu sana , ubaya niko porini
Wana huo uwezo wa kufika kwenye five star hotel yangu Nassau Bahamas 50k $ per night?Baada ya match tu, mkishazima taa tu baada ya Lisaa limoja hivi, panyaroad hawa hapa wanavunja dirisha na kusepa na flat screen
Tulisha malizana na wewe una mimba yetuMadrid timu nyepesi Sana kupigika sijui watu wanaangalia Nini Kwa Madrid aisee [emoji28][emoji28]