FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France

Kama ilivyo hakuna uchaguzi mrahisi pia hakuna fainali rahisi.
 
Unaumwa wewe
 
Chuma cha Mjeruman kinairudisha kumbukumbu ya usiku wa maaajabu ya Aturturk stadium
 
Ni kweli Liva kapita njia nyepesi lakini nashindwa kuwaamini sana Madrid kwakua katika games zao mpaka kufika fainali walipigwa first leg wakafufukia second au walipigwa na kufufuka dakika za mwishoni.

Fainali haina two legs na hapo ndipo naona kazi ipo kwa Madrid
 
Nilipoiona tu sentensi" SHUKRANI ZA PEKEE ZIENDE KWA S.RAMOS KWA KUMTEGUA SALAH BEGA" Nimegundua kuwa mleta mada ni mkuda mmoja anaeichukia KLABU KUBWA zaidi DUNIANI R MADRID.

HALA MADRID...!!!
Kwanini mkuu
 
1989? Ni mwaka 1981
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…