Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Umeongea kwa machungu sana.Kama taifa tunasafari kubwa sana ya kisoka Kwa kweli hii mifumo ya kuokota wachezaji mitaani afu wanakua tegemezi Kwa taifa itatuchukua mda mrefu sana kupiga atua kubwa kisoka
Ihefu ikicheza ni habari kubwa kuliko Taifa Stars, timu zimekuwa za siasa, bora tubaki na hizi za mikoani tu.